Stress Free Zone

Stress Free Zone

Wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka!
Ndio kanuni ya kiafya mkuu.

Kuna uzi fulani ulikuwa unazungumzia watu walipanga chumba na sebule huku wana beki tatu ambaye anaangushaga kwa sofa, siku moja wakawa wanakulana kumbe beki tatu kawasoma akawa anapiga chabo ya kusikilizia kesho yake akawa anamcheka mke wa jamaa mbaya sana.

Nilicheka sana kwenye ule uzi aisee
 
Back
Top Bottom