Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Hebu ukimuona muulize vizuri..Kwa hiyo nililishwa matango mjini na Sakayo eehhh!!
Anyway, mwambie ubwabwa wa festivals asinisahau, maana mapupu siku hizi wamehamia yale ya katika ya miguu ya watu kitu ambacho mimi nakosa sifa ya kula hayo mapupu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sitaki kuisemea nafsi ingine