Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Maandalizi ya sikukuu yanaendeleaje jiraniSawa Jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maandalizi ya sikukuu yanaendeleaje jiraniSawa Jirani
Anapikia kule makapuku eeehhShunie anapika usimsumbue
Nani kasema yuko Makapuku,niko naye hapa namsaidia kukata nyaya... halafu hebu tuache mana jinsi alivyo sichoki hata kumuangalia kikongwe wangu.Anapikia kule makapuku eeehh
HahahahahaYani acha tu shem, vitu hivyo ndivyo vinafanya maisha yawe matamu.
Wanicheka [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha
DaaahMaandalizi ya sikukuu yanaendeleaje jirani
Mie nimechoka ujueWanicheka [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe cheka tu,... maana mimi mwenyewe kuna muda nawaza halafu najicheka!!Mie nimechoka ujue
Na wewe hata kuniambia kwa codes hamnaWewe cheka tu,... maana mimi mwenyewe kuna muda nawaza halafu najicheka!!
Yani uzembe tu!,nina kivuli chako ujueNa wewe hata kuniambia kwa codes hamna
Jipe moyoNani kasema yuko Makapuku,niko naye hapa namsaidia kukata nyaya... halafu hebu tuache mana jinsi alivyo sichoki hata kumuangalia kikongwe wangu.
Acha wivu kijanaJipe moyo
Mmmh.Daaah
Sina wivu banaAcha wivu kijana
Basi tumeshaongeaNiambie mpenzi
Iko poa nipo hapa nashangaa magari ya watu yanavyopitaHuko wikiend ikoje?
Kunicheka Veep kusema sina mauno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaYani uzembe tu!,nina kivuli chako ujue
Una ninii kwani nilikua namtafuta mieShunie babe wako huyu huku
Basi sawaBasi tumeshaongea