Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua Mi kinachiniponza upole!Aiseee
Sio vizuri Jirani
Nimekuwa bibi yako tena Jirani????Salama kabisa jirani!
Bibi unanionea!
Ndio umbebishe sasaKweli? Mbona jirani yako sijajua kama una chamgamoto kama hiyo?
Kwa nini uchelewe kuonaMbona nimekuwish! Japo nlichelewa kuona
HahahaaaaUnajua Mi kinachiniponza upole!
Ahhaha halaf nimemmiss young wangu akija anapotea hapo hapoSijawahi kuwa wa hivyo. Unanifananisha na mjukuu wako? Si ndio?
Ebu nipe siri umejipeleka wapi huko usipokubalikaHapana. Sijatekwa. Dizaini kama watekaji hawana mpango na mimi! Na nilipojipeleka kutekwa inaonekana mtekaji kama hamikubali hivi!
Sikuonei huo ndio ukweliBibi unanionea!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au na under 20 bila kujuaWoooi
Ya huku inanoga ujue, unaweza bebishwa na dangote bila kujua
MmhUnajua Mi kinachiniponza upole!
Huyu Mi simuweziNdio umbebishe sasa
Hahaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au na under 20 bila kujua
Nilikuwa Dodoma namchagua MKiti wa chama!Kwa nini uchelewe kuona
Ooooh
Sana. Na nina aibu. Sa ndio napata tabu sana na hawa akina Bi Mwenda!Hahahaaaa
Hivi kumbe nawe mpole
Pole JiraniSana. Na nina aibu. Sa ndio napata tabu sana na hawa akina Bi Mwenda!
Ebu nitaftie young wangu jaman