Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,663
- 2,573
Mhhh aisee pole kama ni kweliHosee hii sio fix mkuu, ikinibidi niuze kwa wale jamaa wanaonunua noti chakaavu kwa nusu bei ila imeniuma sana...
Chana na hiyo risiti iliyobaki, rudi ATM katoe LAKI