STRESS Ni nini?

STRESS Ni nini?

King SN

Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
40
Reaction score
12
Stress ni pale mgeni anapokutembelea mgeni geto alafu wakati huo ndani unaakiba ya miatano unaamua kuchukua chupa mbili za soda moja unanunua Cocacola dukani af nyingine ya sprite unaweka maji ili uje umpe company mgeni wako...Tatizo linakuja pale mgeni anapoikata koka uliomletea anaitaka Sprite uliotaka kunywa mwenyeji
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom