Stress ni pale unaposikia vipanga wa Hesabu wanabisha majibu tofauti na yako

Stress ni pale unaposikia vipanga wa Hesabu wanabisha majibu tofauti na yako

Stress ni nini? stress ni pale unapotoka kwenye pepa la mathematics alafu unasikia wale vichwa ya Hesababu wanabishana , mmoja anasema "Pale jibu ni -2" mwingine anasema " Jibu ni +2"

Alafu wewe ulijaza jibu ni 138 [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi mabaya ya kodi zetu
 
Back
Top Bottom