Stress ni pale.....

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
*Stress ni pale unapokuta kibwana mdogo ambacho hakijaenda Shule kinamahela mpaka kinaumwa,halafu wewe na masters yako unapuyanga mwaka Wa nne,stress zaidi ni pale unapokumbuka ulimwambiaga dogo zingatia Shule utakufa maskini.....*
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

bwayhermitTz
 
Nalo neno japo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stress ni pale mtoto mzuri anakumwaga tena anatoka na hambe flani aliloishi kukuambia ni jirani tu
 
Stress ni pale unapompa Msichana Lift halafu akazimia ndani ya Gari yako na humjui wala hupajui kwao. Ulimkuta tu Njiani ukamsaidia!!

Stress ni pale unapoamua kumpeleka huyo Msichana Hospitali na akabainika ana Mimba, Dokta akaanza kukupongeza kuwa unakaribia kuitwa Baba!!

Labda Stress ni pale unapokataa na kumwambia Dokta Mimba si ya kwako, mara ghafla Msichana anazinduka na kudai Mimba ni ya kwako!!!

Huenda Stress ni pale Dokta anapoamua kukupima ili kuthibitisha, na baada ya vipimo anakwambia Mimba si yako kwakuwa huna uwezo wa kumpa Mwanamke Mimba!!

Stress ni pale unaporidhika na Majibu ya Doctor kuwa huna Uwezo wa kumpa Mwanamke Mimba lakini unakumbuka Nyumbani una Mke na Watoto Wawili!!!
 
Stress ni pale unapotembea na dada Wa kazi Mara moja baada ya mwezi anakuambia 'baba sijaona Siku zangu na Nina dalili zote za kua na mimba, na kweli kwa utalaam wako unagundua ana mimba


Stress za ni pale unapojisahau kua mkeo ni daktari AF unampa ela akaitoe hyo mimba bila kumuelekeza hospital.. baada ya mda unamuona mkeo kwa mbali anarudi nyumban kamshika dada mkono huku akimchezesha kipigo...hapo ndio utajua kwa nini wanaume tumeumbiwa mateso[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

young kilimanjaro
 
stress ni pale unywele wa sehem nyeti unashika kwenye boxer na uko mbele ya mama mkwe..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

bwayhermitTz
Stress ni pale unapofungua kaduka kako tena kwa mkopo, vitu hivi vinakusubiri. TRA, Halmashauri ya wilaya, Tfda, Afya ngazi ya kata. Punguzeni hizo kodi walala hoi tunaumia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…