stress ni pale haujui kiingereza, umeandikiwa cv nzuri kwa kiingereza, ukafika kwenye interview ukapigwa maswali yote kwa kiingereza.
stress ni pale una phd ya kubumba afu watu wanajua hilo....
stress ni pale umeweka headphone mbele za watu, ukatoa kamsauti fulani wewe haujui kama watu wanasikia kumbe....
stress ni pale unasinzia mbele za watu afu unatoa ushuzii mkubwa na wote wanageuka kukuangalia, wewe unastuka na unajua umefanya ilo tatizo na watu wote wanakushangaa hadi madem (ilimtokeaga jamaaangu mmoja, alipata shida balaa).