#UNAAMBIWA: Unafahamiana vizuri na Inzi Sio?
Sasa kwa mujibu wa Utafiti wa Bar- Ilan University Nchini Israel Inzi hunywa pombe pale ambapo Wanapata Stress za kimapenzi😅😄
" Kama ilivyo kwa Binadamu ambao wengi wao Mapenzi yakiwatenda hudondokea kwenye ulevi wakiamini Unasaidia kupunguza Stress, Inzi nao hupata Stress na kuanza tabia za ulevi wa kupindukia pale Wapenzi wao wanapokufa au wanapotengana nao kwa sababu nyingine,.
🤦🤪🏃