Stress za Yanga zinawafanya wawe mabondia feki

Stress za Yanga zinawafanya wawe mabondia feki

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Game ngumu kwa kila timu, magoli ya kubahatisha huku wakibebwa na waamuzi, hawana uhakika kesho itakuwaje, kipigo cha mbwa mwizi bado kipo kichwani, hivyo wanaona ni bora wapigane.

Ni kama mwanamke mnyonge asiyeweza kuibadili hali yake,wivu hasira ujinga na ushamba au tuseme utopolo, unawafanya kila wakifikiria viwango vya mnyama, wajawe hasira kali.

Alama ya timu yao ikiwa ni chura, hivyo wanajitutumua ili waonekane nao wamo. Ila tunawadharau tu maana kugombana na mpumbavu, utakuwa mpumbavu zaidi yake.

Wana utopolo, acheni roho za chuki wivu na husda kwa wanaoujua mpira.
 
1601311159769.png
 
Ni wakati muafaka sasa uongozi wa UTOPOLO wangechukua play book kutoka kwa Manara kutembelea media mbali mbali wakielezea masuala ya club yao na hasa hili doa jeusi linaloanza kushika kasi kwenye viwanja.
We condemn these acts in a strongest term possible.
 
Game ngumu kwa kila timu, magoli ya kubahatisha huku wakibebwa na waamuzi, hawana uhakika kesho itakuwaje, kipigo cha mbwa mwizi bado kipo kichwani, hivyo wanaona ni bora wapigane.

Ni kama mwanamke mnyonge asiyeweza kuibadili hali yake,wivu hasira ujinga na ushamba au tuseme utopolo, unawafanya kila wakifikiria viwango vya mnyama, wajawe hasira kali.

Alama ya timu yao ikiwa ni chura, hivyo wanajitutumua ili waonekane nao wamo. Ila tunawadharau tu maana kugombana na mpumbavu, utakuwa mpumbavu zaidi yake.

Wana utopolo, acheni roho za chuki wivu na husda kwa wanaoujua mpira.
Kujua mpira siyo kuwadhalilisha wenzio...siyo kuwajta mbwa Koko...siyo kuwaita manyani...uchochezi wa maneno yenu kutoka kwa baadhi ya viongozi wenu ndio unaoleta hasira kutoka kwa baadhi ya wanayanga...ila hilo la wanayanga baadhi yao kuwapa kipigo baadhi ya washabiki wachache Simba wachokozi sikubaliani nacho..
 
Aliyesababisha haya yoooote ni Manara. Manara awe msemaji wa Simba aache kukebehi mashabiki wa Yanga. Utani aachie mashabiki yeye ajikite kwenye usemaji. Manara asipojua hilo ataendelea kutengeneza chuki za ndani kwa mashabiki na mwisho watauana. TFF watakumbuka haya maneno.
 
Nawaomba washabiki wa Simba sc.
Msiende majukwaa ya Yanga wakati wa mechi za Yanga.
Yanga hawana furaha, wana hasira mda wote.
Yanga watakuja kuwaueni.
Ona katika game, Simba wanashangilia mda wote lile pira biriani. Yale mambo ya chama na kash kahata.
Yanga wanashangilia mda wa kupata goli tu.
Mda wote wamenuna, wanataka kupigana.
Jiepusheni na Yanga kwa usalama wenu.
 
Aliyesababisha haya yoooote ni Manara. Manara awe msemaji wa Simba aache kukebehi mashabiki wa Yanga. Utani aachie mashabiki yeye ajikite kwenye usemaji. Manara asipojua hilo ataendelea kutengeneza chuki za ndani kwa mashabiki na mwisho watauana. TFF watakumbuka haya maneno.
Uko sahihi...huyo msemaji wa Simba amedekezwa mno na mamlaka ya soka nchini...Ana majisifu na anakera...baadala ya kuzungumzia masuala ya Simba yeye anaanza kuidhalilisha Yanga na hata kuwatukana...kwenye sakata la Morrison nikamsikia anasema Yanga wanabweka sawa na mbwa Koko...yaani anachochea hasira...amejificha kwenye kitu kinaitwa utani lakini kwenye utani huwezi kusema kwa kufoka vile...yeye anatukana na hatanii...halafu mpenzi wa Simba unakwenda kwenye mechi ya Yanga na kutamba kwenye media kwamba tunahakikisha Yanga inafungwa na matusi juu...huo ni uchochezi...kwenye hili la morigoro polisi wakamate wote waliofanya fujo wakiwemo wale wa Simba...
 
Mme wa mikia fc ndio bingwa
Duh...nakubaliana mtoa mada...huu ni msongo wa mawazo...... !! Ngoja nitoe somo. Kwa hizi round 4 , imejidhihirisha wazi kuwa wapo watakao gombea kutoshuka Yanga,Simba na Azam hawamo kwenye kundi hili.Kuna watakaogombea FA hawa ni pamoja na Yanga,Simba na Azam, lkn hapa Namungo, KMC,Mtibwa na Coastal wapo.Ieleweke kigezo kikubwa hapa ni jinsi timu hizi zilivyo onyesha KANDANDA uwanjani. Mbio za Ubingwa wa VPL ni timu 2 tu yaani Simba na Azam...tu.
 
TFF nashangaa kwa nini hawamfungii Manara kwa kuidhalilisha na kuitukana Yanga kila siku. hili halikubaliki, huyu manara ndio wakumdunda
 
Akili zako ni finyu kana hao wanaoleta ngumi uwanjani.

Jery Murro alikuwa msemaji wa timu gani na maneno yake ya shobo?Mbona Simba hawakuwahi kuwapiga ninyi utopolo?
Aliyesababisha haya yoooote ni Manara. Manara awe msemaji wa Simba aache kukebehi mashabiki wa Yanga. Utani aachie mashabiki yeye ajikite kwenye usemaji. Manara asipojua hilo ataendelea kutengeneza chuki za ndani kwa mashabiki na mwisho watauana. TFF watakumbuka haya maneno.
 
Kwenye nembo yao kuna gloves za ngumi uwenda ni sababu ya kuhamisha mchezo wa ngumi kwenye soka,huu ni ulimbukeni mkubwa sana kwa wanautopolo.
 
ukienda kuangalia mechi ya simba utapata faida zifuatazo kwa muda wa dakika 90

1. utaondoa stress zisababishwazo na maisha magumu

2. utaondoa machungu yakuachwa na bf au gf au mume au mke

3. utaondoa pressure isababishwayo na kuwaza wapi utapata pesa

4. utapata furaha moyoni na mwilini

5. utajihisi uko nchi za ulaya kwa kiwango cha soka uonalo

6. nafsi itachangamka na kujihisi uko peponi

7. utatamani mpira usiishe maana unakuwa kama utamu unakujaa unarudi

8. utajihisi ni tajiri kupindukia maana pasi za assist zitakufanya uwaze utaenda chukulia mkopo

9. utajiona wewe ni bonge la mtu mwenye bahati kwa kuwa mshabiki wa simba maana timu nyingine zikitoa sare zinajiona zimeshinda mbele ya simba

10. utajiona mwili wako umeutendea haki maana macho yataona udambwi masikio yatasikia gogogoooo la
mikono itapiga makofi miguu itarukaruka
mdomo utatabasamu ngozi itahisi msisimko kwa furaha
pua itanusa harufu nzuuri ya mpira wa kiwango

wewe kufa na stress kwa kushabikia yanga uandamwe na magonjwa moyo mtambuka
 
Sasa hivi ukimquote mtu wa utopolo, ndala, yeboyebo, mbwa, nyani, usisahau emoji hizi[emoji2187][emoji2187][emoji119][emoji120][emoji2089][emoji2089][emoji2088][emoji2088][emoji2222] la sivyo utachezea vitasa mpaka ufe, dawa ni kuyatania alafu unatoka nduki.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mambwa hayooooo [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kizazi chenye njaa kinakua na hasira mda wote.
Yanga wamekuwa disappointed kwa kila kitu,. We timu inamsajili calinhos inamtema ngasa hizo ni akili au matope?
Ila kwa vitendo vyao wataicost team yao na wao wenyewe.
Nawahurumia sana wale jamaa wa Morogoro sahiz watakua wanajuta wanatamani siku zirudi nyuma.
Kuna msemo unasema together we stand but alone you suffer, sa hilo ndo litawakuta.
 
Back
Top Bottom