kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Game ngumu kwa kila timu, magoli ya kubahatisha huku wakibebwa na waamuzi, hawana uhakika kesho itakuwaje, kipigo cha mbwa mwizi bado kipo kichwani, hivyo wanaona ni bora wapigane.
Ni kama mwanamke mnyonge asiyeweza kuibadili hali yake,wivu hasira ujinga na ushamba au tuseme utopolo, unawafanya kila wakifikiria viwango vya mnyama, wajawe hasira kali.
Alama ya timu yao ikiwa ni chura, hivyo wanajitutumua ili waonekane nao wamo. Ila tunawadharau tu maana kugombana na mpumbavu, utakuwa mpumbavu zaidi yake.
Wana utopolo, acheni roho za chuki wivu na husda kwa wanaoujua mpira.