kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kujua mpira siyo kuwadhalilisha wenzio...siyo kuwajta mbwa Koko...siyo kuwaita manyani...uchochezi wa maneno yenu kutoka kwa baadhi ya viongozi wenu ndio unaoleta hasira kutoka kwa baadhi ya wanayanga...ila hilo la wanayanga baadhi yao kuwapa kipigo baadhi ya washabiki wachache Simba wachokozi sikubaliani nacho..Game ngumu kwa kila timu, magoli ya kubahatisha huku wakibebwa na waamuzi, hawana uhakika kesho itakuwaje, kipigo cha mbwa mwizi bado kipo kichwani, hivyo wanaona ni bora wapigane.
Ni kama mwanamke mnyonge asiyeweza kuibadili hali yake,wivu hasira ujinga na ushamba au tuseme utopolo, unawafanya kila wakifikiria viwango vya mnyama, wajawe hasira kali.
Alama ya timu yao ikiwa ni chura, hivyo wanajitutumua ili waonekane nao wamo. Ila tunawadharau tu maana kugombana na mpumbavu, utakuwa mpumbavu zaidi yake.
Wana utopolo, acheni roho za chuki wivu na husda kwa wanaoujua mpira.
Nani Bingwa ?Vyovyote msemavyo, ila iwe heri au kwa shari, kwa uchawi hata ikiwezekana kumwaga damu simba hatakua bingwa msimu huu
Mme wa mikia fc ndio bingwaNani Bingwa ?
Aliyesababisha haya yoooote ni Manara. Manara awe msemaji wa Simba aache kukebehi mashabiki wa Yanga. Utani aachie mashabiki yeye ajikite kwenye usemaji. Manara asipojua hilo ataendelea kutengeneza chuki za ndani kwa mashabiki na mwisho watauana. TFF watakumbuka haya maneno.Kujua mpira siyo kuwadhalilisha wenzio...siyo kuwajta mbwa Koko...siyo kuwaita manyani...uchochezi wa maneno yenu kutoka kwa baadhi ya viongozi wenu ndio unaoleta hasira kutoka kwa baadhi ya wanayanga...ila hilo la wanayanga baadhi yao kuwapa kipigo baadhi ya washabiki wachache Simba wachokozi sikubaliani nacho..
Kwa hawa hawa akina Kisinda na Sarpong?Vyovyote msemavyo, ila iwe heri au kwa shari, kwa uchawi hata ikiwezekana kumwaga damu simba hatakua bingwa msimu huu
Uko sahihi...huyo msemaji wa Simba amedekezwa mno na mamlaka ya soka nchini...Ana majisifu na anakera...baadala ya kuzungumzia masuala ya Simba yeye anaanza kuidhalilisha Yanga na hata kuwatukana...kwenye sakata la Morrison nikamsikia anasema Yanga wanabweka sawa na mbwa Koko...yaani anachochea hasira...amejificha kwenye kitu kinaitwa utani lakini kwenye utani huwezi kusema kwa kufoka vile...yeye anatukana na hatanii...halafu mpenzi wa Simba unakwenda kwenye mechi ya Yanga na kutamba kwenye media kwamba tunahakikisha Yanga inafungwa na matusi juu...huo ni uchochezi...kwenye hili la morigoro polisi wakamate wote waliofanya fujo wakiwemo wale wa Simba...Aliyesababisha haya yoooote ni Manara. Manara awe msemaji wa Simba aache kukebehi mashabiki wa Yanga. Utani aachie mashabiki yeye ajikite kwenye usemaji. Manara asipojua hilo ataendelea kutengeneza chuki za ndani kwa mashabiki na mwisho watauana. TFF watakumbuka haya maneno.
Duh...nakubaliana mtoa mada...huu ni msongo wa mawazo...... !! Ngoja nitoe somo. Kwa hizi round 4 , imejidhihirisha wazi kuwa wapo watakao gombea kutoshuka Yanga,Simba na Azam hawamo kwenye kundi hili.Kuna watakaogombea FA hawa ni pamoja na Yanga,Simba na Azam, lkn hapa Namungo, KMC,Mtibwa na Coastal wapo.Ieleweke kigezo kikubwa hapa ni jinsi timu hizi zilivyo onyesha KANDANDA uwanjani. Mbio za Ubingwa wa VPL ni timu 2 tu yaani Simba na Azam...tu.Mme wa mikia fc ndio bingwa
Aliyesababisha haya yoooote ni Manara. Manara awe msemaji wa Simba aache kukebehi mashabiki wa Yanga. Utani aachie mashabiki yeye ajikite kwenye usemaji. Manara asipojua hilo ataendelea kutengeneza chuki za ndani kwa mashabiki na mwisho watauana. TFF watakumbuka haya maneno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]