Stress za Yanga zinawafanya wawe mabondia feki

Uko sahihi...huyo msemaji wa Simba amedekezwa mno na mamlaka ya soka nchini...Ana majisifu na anakera...baadala ya kuzungumzia masuala ya Simba yeye anaanza kuidhalilisha Yanga na hata kuwatukana...kwenye sakata la Morrison nikamsikia anasema Yanga wanabweka sawa na mbwa Koko...yaani anachochea hasira...amejificha kwenye kitu kinaitwa utani lakini kwenye utani huwezi kusema kwa kufoka vile...yeye anatukana na hatanii...halafu mpenzi wa Simba unakwenda kwenye mechi ya Yanga na kutamba kwenye media kwamba tunahakikisha Yanga inafungwa na matusi juu...huo ni uchochezi...kwenye hili la morigoro polisi wakamate wote waliofanya fujo wakiwemo wale wa Simba...
Na vipi kuhusu kocha wenu alosema mnabweka kama mbwa na manyani
 
Kocha luc Eyamael kwa kauli yake Hana tofauti na msemaji wa Simba aliyesema Yanga wako sawa na mbwa Koko...Eyamael alifukuzwa kwa kauli yake..msemaji wa Simba alipaswa kufukuzwa au kuondolewa kwenye soka asijihusishe maisha...TFF wamemlea msemaji wa Simba kwa kauli zake za ovyo ovyo za mara kwa mara dhidi ya Yanga...msemaji wa Simba ni mchochezi wa vurugu..yeye anachochea uhasama wa timu hizi mbili...nimemsikiliza pia yule shabiki wa Simba wa chalinze anayedaiwa alipigwa morogoro...naye Anna tatizo...anatishia Mambo ya uchawi kinyume na penal code..
 
Huu utani wa kidwanzi ameuanzisha huyo Mzungu pori wao na sisi mashabiki wa Yanga hatukubali kuitwa manyani , mambwa na matusi mengine ya hovyo hatuko tayari kudhalilishwa utu wetu.

Simba mwabieni huyo msemaji wenu asiyepiga mswaki na kutoa shombo wakati wa kuzungumza kwenye vyombo vya habari akiizungumzia Yanga ilhali yeye ni msemaji wa timu yenu aache Mara moja.

Sisi tunao wasemaji wetu na wala hatumhitaji yeye kwa namna yoyote na pia hatuhitaji kukerwa kamaanavyosema.

Kizazi kinachokubali kukerwa kimeisha hiki ni kizazi kingine namshauri asome alama za nyakati vinginevyo kama hakubaliani na hilo anaweza kurudi nyuma akaishi na kizazi kilichokuwa kinakubali KUKERWA.

Nasema kuwa wana Yanga hatutaki kukerwa na matusi yenu wekeni akilini tutaniane kawaida siyo kutukanwa.

Siku ambayo tulifungwa 4-1 msimu uliopita kuna shabiki mmoja wa simba alitutukania mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu mashabiki wote wa Yanga tuliokuwa tunaangalia mpira kwenye kibanda umiza.

Wakulaumiwa ni manara ndiyo chanzo cha sisi mashabiki wa Yanga kuwa tunatukanwa hata huku mitaani , alaaniwe Haji Manara!
 
Kujua mpira siyo kuwadhalilisha wenzio...siyo kuwajta mbwa Koko...siyo kuwaita manyani...uchochezi wa maneno yenu kutoka kwa baadhi ya viongozi wenu ndio unaoleta hasira kutoka kwa baadhi ya wanayanga...ila hilo la wanayanga baadhi yao kuwapa kipigo baadhi ya washabiki wachache Simba wachokozi sikubaliani nacho..
Aliyewaita nyani au mbwa koko alikuwa kocha wenu nyinyi mmeshawaita simba majina mangapi mbona hawajafanya chochote.
Jitafakarini mtakuwa na matatizo
 
Vyura- huu ni utani au kweli ninyi ni vyura?,Utopolo- hili jina mmeluanzisha wenyewe kutokana na ubovu wa timu yenu,Simba wanahusikaje iwapo mmelipenda wenyewe?
Nyani- ni jina mlilopewa na kocha wenu wenyewe kutokana na uwezo wenu wa kufikiri na kuchambua mambo.Wengi kwa kuonesha kuunga mkono vita vya ngumi na vurugu zilizojitokeza,ni kudhihirisha uwezo wenu wa kufikiri na kwamba kwa binadamu wa kawaida anajua nini maana ya utani.Hawezi kuwa na matendo ya kinyani nyani eti kisa mpira tu.

Mwisho kuna katuni huwa zinachorwa kwenye magazeti na mitandao ya kielekronic za kuudhi sana pale Simba anapofungwa.Na hata picha za wachezaji nazo huchorwa kwa namna isiyoleta staha.Yote hayo hatujawahi kuona Simba wakilipiza kwa kipigo cha ngumi,bali Simba hulipiza uwanjani.Rejea goli 5,na 4 za majuzi.
Yanga lipizeni kisasi uwanjani na siyo kupigana ngumi.Kupigana ngumi ni kudhihirisha uwezo wenu mdogo na kwamba hamna uwezo wa kushinda uwanjani
Huu utani wa kidwanzi ameuanzisha huyo Mzungu pori wao na sisi mashabiki wa Yanga hatukubali kuitwa manyani , mambwa na matusi mengine ya hovyo hatuko tayari kudhalilishwa utu wetu.

Simba mwabieni huyo msemaji wenu asiyepiga mswaki na kutoa shombo wakati wa kuzungumza kwenye vyombo vya habari akiizungumzia Yanga ilhali yeye ni msemaji wa timu yenu aache Mara moja.

Sisi tunao wasemaji wetu na wala hatumhitaji yeye kwa namna yoyote na pia hatuhitaji kukerwa kamaanavyosema.

Kizazi kinachokubali kukerwa kimeisha hiki ni kizazi kingine namshauri asome alama za nyakati vinginevyo kama hakubaliani na hilo anaweza kurudi nyuma akaishi na kizazi kilichokuwa kinakubali KUKERWA.

Nasema kuwa wana Yanga hatutaki kukerwa na matusi yenu wekeni akilini tutaniane kawaida siyo kutukanwa.

Siku ambayo tulifungwa 4-1 msimu uliopita kuna shabiki mmoja wa simba alitutukania mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu mashabiki wote wa Yanga tuliokuwa tunaangalia mpira kwenye kibanda umiza.

Wakulaumiwa ni manara ndiyo chanzo cha sisi mashabiki wa Yanga kuwa tunatukanwa hata huku mitaani , alaaniwe Haji Manara!
 
Aliyewaita nyani au mbwa koko alikuwa kocha wenu nyinyi mmeshawaita simba majina mangapi mbona hawajafanya chochote.
Jitafakarini mtakuwa na matatizo
Naona hufuatilii Mambo...msemaji wenu ndio aliyesema wanayanga wanabweka Kama mbwa koko...alisema hivyo wakati wa sakata la Morrison...Simba ndio wenye matatizo...au hujamsikia mwenzenu mmoja akibwabwaja kuwa wanahakikisha wanaihujumu Yanga isipate ushindi...kwa kuandika hivi Haina maana nahalalisha vitendo vile vya kihuni walivyofanya baadhi ya wanayanga kuwapiga wenzao wa Simba...la hasha...nasema suala hili liende mbali zaidi...kutazama pande zote...
 
Kindoki alishaingia mara nyinyi na romote ya kuchezea play station kwenye mechi nyingi za Simba na kutamba wazi kabisa kwamba amekuja nacho ili Simba isishinde.
Na kusema akiwa kiwanjani anabonyeza kibatan cha remote hiyo na Simba haishindi ng'o.
Na anatamba wazi kabisa huku amezungukwa na washabiki wa Simba na hafanywi kitu.
Yanga lazima mkubali kuwa kwa sasa mna Frustration za kukosa ubingwa mara tatu mfululizo.
Kumkosa Morrison nk.
 
Naona hufuatilii Mambo...msemaji wenu ndio aliyesema wanayanga wanabweka Kama mbwa koko...alisema hivyo wakati wa sakata la Morrison...Simba ndio wenye matatizo...au hujamsikia mwenzenu mmoja akibwabwaja kuwa wanahakikisha wanaihujumu Yanga isipate ushindi...kwa kuandika hivi Haina maana nahalalisha vitendo vile vya kihuni walivyofanya baadhi ya wanayanga kuwapiga wenzao wa Simba...la hasha...nasema suala hili liende mbali zaidi...kutazama pande zote...
Kauli ya kubweka kama mbwa ilitoka kwa Eymael hakuna mtu aliyesema atahujumu yanga ni viongozi wenu walivyowaaminisha
 
Huu utani wa kidwanzi ameuanzisha huyo Mzungu pori wao na sisi mashabiki wa Yanga hatukubali kuitwa manyani , mambwa na matusi mengine ya hovyo hatuko tayari kudhalilishwa utu wetu.

Simba mwabieni huyo msemaji wenu asiyepiga mswaki na kutoa shombo wakati wa kuzungumza kwenye vyombo vya habari akiizungumzia Yanga ilhali yeye ni msemaji wa timu yenu aache Mara moja.

Sisi tunao wasemaji wetu na wala hatumhitaji yeye kwa namna yoyote na pia hatuhitaji kukerwa kamaanavyosema.

Kizazi kinachokubali kukerwa kimeisha hiki ni kizazi kingine namshauri asome alama za nyakati vinginevyo kama hakubaliani na hilo anaweza kurudi nyuma akaishi na kizazi kilichokuwa kinakubali KUKERWA.

Nasema kuwa wana Yanga hatutaki kukerwa na matusi yenu wekeni akilini tutaniane kawaida siyo kutukanwa.

Siku ambayo tulifungwa 4-1 msimu uliopita kuna shabiki mmoja wa simba alitutukania mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu mashabiki wote wa Yanga tuliokuwa tunaangalia mpira kwenye kibanda umiza.

Wakulaumiwa ni manara ndiyo chanzo cha sisi mashabiki wa Yanga kuwa tunatukanwa hata huku mitaani , alaaniwe Haji Manara!
Nyie ni utopolo tu
 
Yanga wanahasira kwa kusajili wabong'oaji badala ya wachezaji.
FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Kujua mpira siyo kuwadhalilisha wenzio...siyo kuwajta mbwa Koko...siyo kuwaita manyani...uchochezi wa maneno yenu kutoka kwa baadhi ya viongozi wenu ndio unaoleta hasira kutoka kwa baadhi ya wanayanga...ila hilo la wanayanga baadhi yao kuwapa kipigo baadhi ya washabiki wachache Simba wachokozi sikubaliani nacho..
Aliyewaita mbwa koko ni Yule kocha wao
 
Kwa hy nyie ni Monkeys [emoji204][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa... Wewe mbaguzi...unatoa kauli ya ubaguzi ambayo hutolewa na baadhi ya wazungu wabaguzi...kwa hiyo Kama wewe ni mweusi na wewe ni nyani...baba yako mzazi ni nyani na kadhalika
 
Stress zenu za kukosa kombe lolote miaka 4 mnazihamishia kwenye kutukana na kupiga watu ndio mlichobakiza
 
Matusi hayajanzishwa na wanayanga....msemaji wenu ndio kinara wa uchokozi...amewahi kutamka Yanga wanabweka Kama mbwa Koko...huyu ni sawa na yule kocha mbaguzi aliyesema wanayanga ni monkeys..baadhi ya wanasimba wanaunga mkono kauli ya Eyamael kwamba Yanga no manyani..wanasimba hao wasahau kuwa mzungu huyo mbaguzi ali
To kauli hiyo akiwalenga blacks na ambapo wasimba wengi pia ni black..
 
Simba ni Simba na monkey ni monkey.

Punguzeni stress

Back
Top Bottom