Nakuwaga na stress mida ya alfajiri kunapoanza kupambazuka nikahangaike. Nakuwa nawaza mengi "sijui leo itakuwaje?". Ndiyo maana usiku ninapoweka mbavu natamani kusikuche.
Watanzania wengi hatuna furaha kutokana na mfumo wa maisha. Tunalala hoi, tunaamka hoi.