Habari zenu wakuu...!!!nilikuwa naitaji link ya kudowlod seriez ya Strick Back Season ya 5 Yote..nimeshaitafuta sana nimeikosa naombeni msaada wenu niweze kuipata nataka ni idownlod kupitia cm..
Ingia Google, type:
"Index of" + "strike back season 05" halafu bonyeza enter...
Kumbuka kuweka alama " " kama inavyoonekana hapo juu na kuacha nafasi kabla na baada ya + ... Ukifanikiwa lete mrejesho...