Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,437
- 1,027
Haya sasa wana arsenal,stan kroenke,mfanya biashara wa kimarekani amenunua 16.1% ya hisa za lady nina bracewell-smith na 15.9% za danny fiszman na hatimaye kufikisha 62% ya umiliki katika club ya arsenal.Hii inamruhusu kroenke ku lunch takeover bid na stan kroenke ameikubali hiyo offer.Hivi sasa yupo katika hatua za mwisho ku takeover kama mmiliki wa arsenal.Sisi kama wana arsenal tuna mtazamo gani katika hili,je arsenal itakuwa positively revolutionalized?vp hatima ya wenger kama kocha?vp kuhusu youth policy ya arsene wenger?vp kuhusu trophies drought tuliyonayo arsenal fc?karibu tujadili haya na mengineyo mengi.