Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Kwa Heshima na Taadhima
Naandika barua hii kwako kwa kuwa ni wewe pekee ninaekuamini unaetaka chadema kushika dola.
Na kwa imani hii niliyonayo ninaamini imebeba fikra wa idadi kubwa ya wale ninaowasemea. Kwa asili ya watu hao si wapenda vyeo, lakini kwasababu za kiintelijensia wanakuwa tu ktk uongozi ili kufikia lengo kuu.
Kujua nani ni mshindi katika uchaguzi, na hapa nazungumzia wa urais 2025.
Kuwa rais anapatikana siku baraza kuu kwa chadema linalotangaza jina la mgombea urais litalipelekwa kwa mkutano mkuu.
Chama chochote chenye intelijensia nzuri kinakuwa kishamaliza uchaguzi na kuwa mgombea husika ndie raia rasmi wa nchi.
Chama Chenye intelijensia nzuri hakitegemei wapiga kura bali inteligensia ya chama.
Naandika barua hii baada ya Jana kuna na maongezi ya zaidi ya masaa 3 kujadili njia ya ukombozi na kamanda mmoja kutoka kanda ya kusini chadema. Moja ya swali jepesi nilomuuliza ni iwapo chadema inajipanga kuchukua dola au kupata nafasi kwa baadhi ya majimbo. Nilimuuliza hivi kwa kuwa nimekuwa nikijiuliza ni kwa vipi chadema ifikirie kushika dola bila ya kushirikiana na majukwaa mengine ya wataka mabadiliko. Nikiwa nakusudia watu wa mwambao. Vipi chadema ijiamini kushika dola bila yaongeza ushawishi kwa kanda wa mwambao wa tz.
Kamanda kwa wepesi akanambia chadema haijajipamga kushika dola. Na kwamba mkakati uliopo nitumie pesa kubwa ktk ngome zao.
Lakini baada ya kumshawishi njia ambayo chadema yaweza kushika dola akasema kwa pale makao makuu, ni Tundu Lissu pekee ndie mwenye uwezo wa kukuelewa mapema.
Kwasababu Lissu ni sio tu ni kiongozi mwenye ujasiri ndani ya chama bali ni miongoni mwa Watanzania wachache wenye ujasiri wa kueleza ukweli kuhusu mambo mbalimbali na hasa ya kihistoria na kwa kutumia matukio ya historia kuweza kupata njia ya kuondoa mtanziko na vikwazo vinavyozuia mabadiliko watz wanayasubiri.
Baada ya UTANGULIZI hii sasa niende moja kwa moja katika mada kwa tukio la mwaka 1953 la chama cha taa kumchagua Mwalimu Nyerere kuwa ni mwenyekiti wa chama. Ni tukio wanahistiria wanasema mwalimu Nyerere aliipata nafasi hiyo faida kubwa ikiwa ni dini yake. Na baada tu Tanganyika kukabidhiwa nchi na kusimamisha sheriakili mzee nyerere akaanzisha serikali isiyo na dini.
Tukio lilofanywa na wazee hawa kwa uoni wangu likijirudia mwaka huu ambapo chadema natarajia kufanya uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti, chadema ataingia kwenye uchaguzi mkuu wa urais kwa nia ya kutafuta dola.
Mh. Lissu, wewe unaweza kufanya ushawishi huu. Jitoeni kwa ajili ya watz tutazidi kuwaheshimu. Chadema inahitaji kufanya lobbying ili iundwe mkono na watu wa mwambao. Na njia pekee ya kuongeza ushawishi ni kwa kuwa na vikao vya siri na mashekhe wa wao wawapele watu watakaoweza kushika nafasi 2 za juu kati ya 3. Yaani mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti au Katibu Mkuu.
Nafasi mbili. Nasema haya kwa kuwa watu wa mwambao kuingia katika siasa za kweli kweli kama like asylum seeker. Nawahitaji kujiegeneza kama kundi maalum. Kundi ambalo kama vile walivyo wazanzibar wanaopiganiamMuungano ivunjwe, vivyo hivyo wa mwambao wanajihesabu ni kama taifa linalojitegemea. Na liko tayari na kuunga aina fulani ya Muungano bora zaidi kwa kuwa na mfumo wa serikali ya majimbo yenye uhuru zaidi au uhuru kamili wa kujiamulia mambo yao wenyewe.
Na kwamba nafasi hizo chadema wasacrify kwa lengo la kupata ushawishi wa watu wa mwambao.
Mh Lissu, watu hao hawalaswi kuja kama wanachama, bali au kuja wenyewe kama kwa Mzee lowasa. Bali watu hao wataletwa na wenyeji. Hata kama mtamuona hana elimu mnazojimwambafai nazo, hao watu watakuwa ni wenye nguvu na wanasikilizwa zaidi wao na wafuasi wao kuliko mtu yeyote. Na mchakato huu ukakubalika unahitaji low badget. Kwa kuwa watu wataivishwa na imani zaidi kuliko pesa.
ktk harakati zozote mambo matatu muhimu ili kupata ushindi.
1. Pesa
2. Muda
3. Fikra (falsafa/imani/itikadi).
ukikosa pesa simama na fikra au imani na muda.
Watu wa mwambao unlikely kanda nyingine wanao muda na wamejengwa ktk kusimama kiimani zaidi ya pesa. Hivyo mpango huu unahitaji low badget.
Nisikuchoshe, nimalizie kwa kukueleza imani na itikadi ya kijamii ambayo watu wa mwambao wataiunga iwapo chadema wataibabea.
Lakini si mwambao tu bali kila mtanzania ambae anaamini uwepo wa Mungu.
Na ukweli ni kuwa kwa kurmtipia itikafi hiyo Tanzania itakuwa na aina mbili za vyama.
Vyama vinavyoamini uwepo wa Mungu- CHADEMA
Vyama vinavyoamini akuna Mungu (ccm).
Hii inatokana na asili ya misingi ya imani na itikadi ya vyama hivi.
Mh Lissu wewe unajua kuwa asili ya Ujamaa ni ukomonist, ambao msingi wa imani ta ni Atheism, watu wasiotambua uwepo wa Mungu. Na kuwa na serikali isiyo na dini.
kinyume chake chadema ije na imani na itikadi mpya.
Inani (hakuna ataechwa nyuma - leaving no one behind. Na itikadi iwe ni kuunda Serikali ya dini zote) itikadi hii itaendana theolojia ya kuwamini uwepo wa Mungu.
Watu wa mwambao hawadanganyiki kwa kuvaa vikofia kama wao kwa kujifanya mko sawa, wanahitaji watu wao wanaowaamini wawepo ktk uongozi
Niishie hapa kwa sasa.
Wasalam
Ndimu mtaka mabadiliko na kuondoa utawala wa Kleptocracy wa ccm.
Mohamed Abubakar (Maududi)
Masasi