Striker kama huyu anaejituma na kutegemewa ktk club yake utamuachaje kwenda Russia?

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
AddTextToPhoto_18-4-2018-3-36-41.png

Wakuu! Mwenye kujuwa atuambie ni nini kimetokea baina yao? Fundi kama huyu utamuachaje kwenda urussi!!! badala yake anamchukua Higuain....Ndio maana timu inakuwa dependant on single man, Lapulga....Au wapo bora zaidi yake kwa namba 9?

Haya ukija kwa Dybala i don't think kama amemuita kikosini....all years hatunaga bahati na makocha,, huyu Sampaoli naye ni wale wale tu!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jamaaa ni mzuri sana ila kocha anasema bado hajafikiria kama atamuita kwenda URUSI
[emoji848]
 
View attachment 748872

Wakuu! Mwenye kujuwa atuambie ni nini kimetokea baina yao? Fundi kama huyu utamuachaje kwenda urussi!!! badala yake anamchukua Higuain....Ndio maana timu inakuwa dependant on single man, Lapulga....Au wapo bora zaidi yake kwa namba 9?

Haya ukija kwa Dybala i don't think kama amemuita kikosini....all years hatunaga bahati na makocha,, huyu Sampaoli naye ni wale wale tu!
Ile ishu ya kutoka na aliyekuwa mke wa Max nadhani ndio iliyomchafua sana. Huyu bwana mdogo issue kubwa ni nidhamu nadhani.
 
Argentina wana wachezaji wengi sana wanaocheza forward (Aguero,Higuain,Messi) na wengine kibao tatizo kubwa la Icardi ni nidhamu mbovu ndio maana Barca walimuacha aondoke
 
Mkuu kwa suala hili kwa timu kama ya Argentina wala sio jambo geni hata kidogo.

Kama kumbukumbu zako ziko sawa, World Cup ya mwaka 1998 iliyifanyika pale Ufaransa, Mchezaji Fernando Redondo, moja kati ya viungo bora wa chini ( namba 6 ) kuwahi kucheza soka aliachwa huku akiwa katika fomu ya hali ya juu sanakwa kuiwezesha Real Madrid kuwa Ubingwa wa Uefa Champions League.

Na kisa cha kuachwa kwenye kikosi kile ilikuwa ni kukataa kwake kunyoa nywele tu.

Kwahivyo haya ya akina Icardi ni marudio ya matukio ya zamani ambayo yalikwisha tokea.
 
[QUOTEPicard ckPanther, post: 26746555, member: 340723"]Mchezaji yupi huyo Mkuu? Dybala pia ameitwa?[/QUOTE]
Mauro Icard wa Inter Milan Jamaa ana goli 25 pale Italy.
Kuhusu Dybala kwenye friend match walimuacha pia ila naamini Russia ataenda
 
Icardi alichukua mke wa mchezaji mwenzie, so alileta mgawanyiko kwenye team ya taifa kwa wale wanao msapoti yeye na walio msapoti mwenzie aliyeachwa!

Ili kuepusha huu mgawanyiko, ndio maana icardi akaachwa kwenye kikosi cha team ya taifa!

Case ya dybala ni kwamba dogo anacheza namba moja na Messi. Sasa bahati mbaya Messi anaoffer vitu vingi zaidi yake. Hata akiitwa, ataishia benchi!

Mi nadhani pale mbele higuaini na aguero wanatosha. Ni muda sasa aguero aonyeshe ubora wake kwa kuitetea team kuliko kutegemea miujiza ya Messi kila siku!
 
Inategemea na mfumo wa kocha!? Kama atacheza 3 4 3(3-4-2-1) yaan dybala na messi wakacheza nyuma ya aguero/icardi italeta impact kubwa sana.
 
Inawezekana ikawa ishu ya kutafuna Mke wa mtua aauuu kocha ana yake tu. Ila tatizo Aguero na Higuain wamesha pewa nafasi world cup mbili ila hamna walicho fanya. Ningekuwa Mimi ndio kocha ningejaribu kutumia na hawa wengine.
 
Mkuu kwa suala hili kwa timu kama ya Argentina wala sio jambo geni hata kidogo.

Kama kumbukumbu zako ziko sawa, World Cup ya mwaka 1998 iliyifanyika pale Ufaransa, Mchezaji Fernando Redondo, moja kati ya viungo bora wa chini ( namba 6 ) kuwahi kucheza soka aliachwa huku akiwa katika fomu ya hali ya juu sanakwa kuiwezesha Real Madrid kuwa Ubingwa wa Uefa Champions League.

Na kisa cha kuachwa kwenye kikosi kile ilikuwa ni kukataa kwake kunyoa nywele tu.

Kwahivyo haya ya akina Icardi ni marudio ya matukio ya zamani ambayo yalikwisha tokea.
Yap,uko sawa kabisa,kama sikosei huyo kocha anaitwa Daniel pasearela
 
Inategemea na mfumo wa kocha!? Kama atacheza 3 4 3(3-4-2-1) yaan dybala na messi wakacheza nyuma ya aguero/icardi italeta impact kubwa sana.
Kuna wachezaji ukiwa nao inabidi kocha utafute mfumo utao wa fiti wote. Itakuwa ni jambo La ajabu kama Dyabala ataachwa kwa kisingizio kwamba anacheza nafasi moja na Messi.
 
Ile ishu ya kutoka na aliyekuwa mke wa Max nadhani ndio iliyomchafua sana. Huyu bwana mdogo issue kubwa ni nidhamu nadhani.

Sawa na benzema na kituko chake. Nidhamu sio uwanjani tu. Nje pia inahusika sana. Ukimchukua MTU kama Huyo anaweza akasababisha mgawanyiko. Kumbukeni Roy Kean ilibidi afukuzwe kambini (kambini ya Ireland) kwenye kombe LA dunia
 
Back
Top Bottom