BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Jamaaa ni mzuri sana ila kocha anasema bado hajafikiria kama atamuita kwenda URUSI
[emoji848]
Mauro Icard kinachomtoa kwenye timu ni shutuma za kuchukua demu wa mchezaji mwenzie
Ile ishu ya kutoka na aliyekuwa mke wa Max nadhani ndio iliyomchafua sana. Huyu bwana mdogo issue kubwa ni nidhamu nadhani.View attachment 748872
Wakuu! Mwenye kujuwa atuambie ni nini kimetokea baina yao? Fundi kama huyu utamuachaje kwenda urussi!!! badala yake anamchukua Higuain....Ndio maana timu inakuwa dependant on single man, Lapulga....Au wapo bora zaidi yake kwa namba 9?
Haya ukija kwa Dybala i don't think kama amemuita kikosini....all years hatunaga bahati na makocha,, huyu Sampaoli naye ni wale wale tu!
Jamaa kabandua mke wa maxi lopez kisirisiri mwisho kaona isiwe tabu kaoa jumulaaaaaaaMchezaji yupi huyo Mkuu? Dybala pia ameitwa?
Inategemea na mfumo wa kocha!? Kama atacheza 3 4 3(3-4-2-1) yaan dybala na messi wakacheza nyuma ya aguero/icardi italeta impact kubwa sana.Icardi alichukua mke wa mchezaji mwenzie, so alileta mgawanyiko kwenye team ya taifa kwa wale wanao msapoti yeye na walio msapoti mwenzie aliyeachwa!
Ili kuepusha huu mgawanyiko, ndio maana icardi akaachwa kwenye kikosi cha team ya taifa!
Case ya dybala ni kwamba dogo anacheza namba moja na Messi. Sasa bahati mbaya Messi anaoffer vitu vingi zaidi yake. Hata akiitwa, ataishia benchi!
Mi nadhani pale mbele higuaini na aguero wanatosha. Ni muda sasa aguero aonyeshe ubora wake kwa kuitetea team kuliko kutegemea miujiza ya Messi kila siku!
Inawezekana ikawa ishu ya kutafuna Mke wa mtua aauuu kocha ana yake tu. Ila tatizo Aguero na Higuain wamesha pewa nafasi world cup mbili ila hamna walicho fanya. Ningekuwa Mimi ndio kocha ningejaribu kutumia na hawa wengine.Icardi alichukua mke wa mchezaji mwenzie, so alileta mgawanyiko kwenye team ya taifa kwa wale wanao msapoti yeye na walio msapoti mwenzie aliyeachwa!
Ili kuepusha huu mgawanyiko, ndio maana icardi akaachwa kwenye kikosi cha team ya taifa!
Case ya dybala ni kwamba dogo anacheza namba moja na Messi. Sasa bahati mbaya Messi anaoffer vitu vingi zaidi yake. Hata akiitwa, ataishia benchi!
Mi nadhani pale mbele higuaini na aguero wanatosha. Ni muda sasa aguero aonyeshe ubora wake kwa kuitetea team kuliko kutegemea miujiza ya Messi kila siku!
Yap,uko sawa kabisa,kama sikosei huyo kocha anaitwa Daniel pasearelaMkuu kwa suala hili kwa timu kama ya Argentina wala sio jambo geni hata kidogo.
Kama kumbukumbu zako ziko sawa, World Cup ya mwaka 1998 iliyifanyika pale Ufaransa, Mchezaji Fernando Redondo, moja kati ya viungo bora wa chini ( namba 6 ) kuwahi kucheza soka aliachwa huku akiwa katika fomu ya hali ya juu sanakwa kuiwezesha Real Madrid kuwa Ubingwa wa Uefa Champions League.
Na kisa cha kuachwa kwenye kikosi kile ilikuwa ni kukataa kwake kunyoa nywele tu.
Kwahivyo haya ya akina Icardi ni marudio ya matukio ya zamani ambayo yalikwisha tokea.
Kuna wachezaji ukiwa nao inabidi kocha utafute mfumo utao wa fiti wote. Itakuwa ni jambo La ajabu kama Dyabala ataachwa kwa kisingizio kwamba anacheza nafasi moja na Messi.Inategemea na mfumo wa kocha!? Kama atacheza 3 4 3(3-4-2-1) yaan dybala na messi wakacheza nyuma ya aguero/icardi italeta impact kubwa sana.
Ile ishu ya kutoka na aliyekuwa mke wa Max nadhani ndio iliyomchafua sana. Huyu bwana mdogo issue kubwa ni nidhamu nadhani.