Striker kama huyu anaejituma na kutegemewa ktk club yake utamuachaje kwenda Russia?

Nidhamu ni muhimu sana ktk Mpirà
 
Inategemea na mfumo wa kocha!? Kama atacheza 3 4 3(3-4-2-1) yaan dybala na messi wakacheza nyuma ya aguero/icardi italeta impact kubwa sana.
Dybala anacheza kutokea pembeni, so does Messi.

Sasa sielewi huo mfumo unaweza vipi kuruhusu wote wacheze.
 
Dybala anacheza kutokea pembeni, so does Messi.

Sasa sielewi huo mfumo unaweza vipi kuruhusu wote wacheze.
Inawezekana wakacheza pamoja. Mfano Messi huwa anacheza kama namba kumi ila anatokea kulia. Dyabala unaweza cheza kama pure winga either kulia au kushoto. Auu kama anaenda na 4-3-3 hiyo tatu ya mbele ikawa na Messi, Dyabala, na striker mmoja. Huo ni mfano ila bado kuna jinsi nyingi kocha anazo weza kuwatumia wote.

Ofcourse Inaweza ika leta tija au isilete. Ila kwenye gemu za kirafiki na mazoezini ndio hayo majaribio yanaweza fanyika ila kocha hajapata au hajatumia hizo mechi kuangalia chemistry ya hao watu.
 
wanafunzi kadhaa,akiwemo mwanafunzi mmoja wa darasa la tano ( jina kapuni) amedai wamekuwa wakiuziwa shilingi mia tano kwa kipimo (karibia gramu 150) ambazo amedai huwa wanapaka kwenye makalio na mikono ambapo kipimo kimoja kinaweza kutumika mpaka wiki tatu.
Mwanafunzi mwingine wa darasa la sita amedai baada ya kupaka dawa hiyo unaweza kupigwa hata na walimu mia lakini usitoe chozi hata moja sababu ya ganzi.
 
Messi ni tatizo sana kwenye timu. Ni Mchezaji anayetaka aonekane yy tu pale juu. Argentina hawashindwi kuwapanga wote dyabala na Messi. Ila ikatokea Dyb akacheza vzuri utaona Messi anavyomaind. Kuna mechi ya mwisho kufuzu WC Argentina walimpanga Papugomez wa Atalanta Bergamasca, jamaa alikua anakusanya kijiji balaa. Yan Messi ulikua ukimtazama tu usoni unaona kama anahisi jamaa anamfunika vile.
 
Argentina wana wachezaji wengi sana wanaocheza forward (Aguero,Higuain,Messi) na wengine kibao tatizo kubwa la Icardi ni nidhamu mbovu ndio maana Barca walimuacha aondoke

Aise! kumbe aliwahi kuichezea Barca,, nilikuwa sijui...
 
Makocha wengine huwa wana kasumba flani. Binafsi sijawahi kumkubali Kibonge Higuain
 

Duhh inasikitisha sana aise...ni sababu za kijinga kabisa,, fundi kama yule utamuachaje nje!!! eti kisa kunyoa nywele tu...kutaka yote kukosa yote,, kipindi hicho walikuwa na Kocha Pasarela, i think alijilaumu sana baada ya kutolewa..baada ya hapo jamaa akatimkia kwenda kuifundisha URUGUAY
 
[QUOTEPicard ckPanther, post: 26746555, member: 340723"]Mchezaji yupi huyo Mkuu? Dybala pia ameitwa?
Mauro Icard wa Inter Milan Jamaa ana goli 25 pale Italy.
Kuhusu Dybala kwenye friend match walimuacha pia ila naamini Russia ataenda[/QUOTE]

Naombea iwe hivyo mkuu....Dybala is my favourite player baada ya Messi pale...mshkaji namkubali sana. All in All kijana wetu Lcardi pia tumtakie heri, kocha akae amfikirie..
 
Sampaoli ni mwendawazimu, huwez kumuacha dybala na icardi katika timu yako..

Tena sio kidogo mkuu,,, au pengine haitakii mema tim yake...mbona Chile hakuwa anafanya ujinga kama huo,,, while hili ni taifa lake...daima huwa nnasema Argentina hatukuwahi pata makocha wenye uchungu na timu yao, Maradona nae alikuwa hivyo hivyo, akamuacha Requelme nje w/c ya 2010,, wangesaidiano mno na Messi..
 
lakin mkuu una aguero na higuain kumbuka, pia angalia compatibility ya wachezaji wa argentina je icardi yuko compatible na the rest? aguero na higuain wanafit vzuri kwenye timu zaid ya icardi, hebu fikiria pia diego costa anafit vzuri kwe kikosi cha spain?ni heri umpange morata au isco aende cheza tisa timu itacheza vizuri.......higuain anaofa vitu vingi sana kwe timu anascore lakin anaweza kuwachezesha wenzie pale inapobidi the same to aguero......binafsi sishangai wala kulaumu icardi kuachwa ingawa dybala angemuita tu japokuwa hawez kuanza mbele ya messi lakin yeye ndio atakayechukua mikoba yake baada ya WC ..............icardi anafaa kwe timu zinazocheza mipira migumu kama italy vile sio argentina
 
Inawezekana ikawa ishu ya kutafuna Mke wa mtua aauuu kocha ana yake tu. Ila tatizo Aguero na Higuain wamesha pewa nafasi world cup mbili ila hamna walicho fanya. Ningekuwa Mimi ndio kocha ningejaribu kutumia na hawa wengine.
nafasi wali[pewa kwe kufuzu kombe la dunia,kama ulikua unaangalia mechi zao unaweza kuona hali ya mambo ilivyokuwa
 
Inategemea na mfumo wa kocha!? Kama atacheza 3 4 3(3-4-2-1) yaan dybala na messi wakacheza nyuma ya aguero/icardi italeta impact kubwa sana.

Hilo mbona linawezekana mkuu! Mfumo wa 4-2-3-1 ingependeza zaidi...yani (DeMaria___Dybala__Messi) mbele kati yao mmoja.. Lcardy, Aguero ama Lanzini....majembe wapo wengi mno,, akina Cristiano pavon,, salvio, Pastory, Perotti, Fazio, Benedetto, Angel Correa n.k kibao...
 
Makocha wengine huwa wana kasumba flani. Binafsi sijawahi kumkubali Kibonge Higuain

Kwenye club anaperform vizuri tu...enzi ya Madrid, Napoli, and now juve...but national tim haonyeshi huo ushupavu...
 
Jamaa ndio striker wangu kwenye timu yangu ya game anafunga vibaya mno.....

Nashangaa why kocha anamsusia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…