Strikers leaving the pitch

Hayo ni MAPANDIKIZI.yanayoona kuwa chama ni mali yao.na bila wao chama hakipo..
Samia atoke kwenye huo utumwa
 
Kosa lake ni nini hapo? kurekebisha hilo neno? au na wewe ni katika wale ambao hujipendekeza kwa huyu mleta mada?

Ebu soma post kwanza na utuambie neno striker lina wingi au halina wingi? Na Kama lina wingi je Faiza alikuwa anakosoa kitu gani hapo?
 
Ebu soma post kwanza na utuambie neno striker lina wingi au halina wingi? Na Kama lina wingi je Faiza alikuwa anakosoa kitu gani hapo?
Acha kujitoa ufahamu wewe,hapa naongelea matusi aliyomtukana Faiza,je sheria za JF zinamruhusu yeye kumtukana FaizaFoxy ? achana na hilo neno Striker kwanza,jikite kwenye issue ya huyo jamaa yako kumtukana Faiza na kumdhalilisha kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…