Strikers leaving the pitch

Strikers leaving the pitch

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
End of era! Or new begining?🤔🙇🏿‍♂..
Screenshots_2024-07-29-21-32-58.png
 
Hayo ni MAPANDIKIZI.yanayoona kuwa chama ni mali yao.na bila wao chama hakipo..
Samia atoke kwenye huo utumwa
 
Ebu soma post kwanza na utuambie neno striker lina wingi au halina wingi? Na Kama lina wingi je Faiza alikuwa anakosoa kitu gani hapo?
Acha kujitoa ufahamu wewe,hapa naongelea matusi aliyomtukana Faiza,je sheria za JF zinamruhusu yeye kumtukana FaizaFoxy ? achana na hilo neno Striker kwanza,jikite kwenye issue ya huyo jamaa yako kumtukana Faiza na kumdhalilisha kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom