Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Faiza neno fasaha ni "ondoa" sio ondowa= Striker
Kiufasaha wa msamiati wa Kingereza "striker" huwa ni mmoja tu, ondowa hiyo s inayoashiria uwingi. C haipo kabisa katika hilo neno.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
hayo matusi post namba ngapi? au washafuta jf?Acha kujitoa ufahamu wewe,hapa naongelea matusi aliyomtukana Faiza,je sheria za JF zinamruhusu yeye kumtukana FaizaFoxy ? achana na hilo neno Striker kwanza,jikite kwenye issue ya huyo jamaa yako kumtukana Faiza na kumdhalilisha kiasi hicho.
Ukinitukana mimi ntaishia kukucheka tu..!! Maana hasira ni takataka inayotafutiwa jalala la kuziweka. Siwezi ruhusu kuwa jalala la hasira au machungu yako..!!Nikipaniki huna uwezo wa kujibishana na mimi,mpaka hapa najitahidi kwa kutumia lugha ya staha,
Sheria iwe kwa wote,sio huyu anatukana matusi makubwa kiasi hicho kisha anaachwa tu.
Utahangaika sana kudhani unayoyadhani.Naona unatumia ID zako zote kwa pamoja mpaka unajisahau unarudia swali lile lile tu.
= Striker
Kiufasaha wa msamiati wa Kingereza "striker" huwa ni mmoja tu, ondowa hiyo s inayoashiria uwingi. C haipo kabisa katika hilo neno.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Watatu wataka-tifu!End of era! Or new begining?π€ππΏββ.. View attachment 3056455
Mods wamesha futa matusi ya huyo unayemtetea na amepigwa ban kuchangia hapa,Utahangaika sana kudhani unayoyadhani.
NImesema, kuhusu matusi watajuana wenyewe. Kwangu mimi nataka tu kujua kama STRIKER lina uwingi ambao ni STRIKERS au la..!!Mods wamesha futa matusi ya huyo unayemtetea na amepigwa ban kuchangia hapa,
Sasa jiulize,kwanini matusi ya huyo unayemtetea yamefutwa na mods ila neno alilorekebisha Faiza halijafutwa? coz sio tusi hata kama kakosea,watakuja wengine watamsahihisha zaidi,hakuna anayejua kila kitu.
Kamuulize mumeo.NImesema, kuhusu matusi watajuana wenyewe. Kwangu mimi nataka tu kujua kama STRIKER lina uwingi ambao ni STRIKERS au la..!!
Na wewe umeanza kutukana..!! π π π π π Nilidhani na wewe ni muumini wa watu wasitukanane, kumbe wale wale tu..!!Kamuulize mumeo.
Tusi liko wapi hapo?Na wewe umeanza kutukana..!! π π π π π
Hujajua hoja yangu,mimi ban kwangu ni kawaida tu,issue ni kwanini wengine wanatukana tena matusi makubwa na hawakupigwa ban,Na wewe umeanza kutukana..!! π π π π π Nilidhani na wewe ni muumini wa watu wasitukanane, kumbe wale wale tu..!!
Kama umri huu huwezi kusoma statement na kujua lipi ni tusi na lipi siyo kwa mtu wa aina fulani, basi siyo wa kujadili kitu na mtuTusi liko wapi hapo?
Halafu punguza kunishobokea,naona unajilengesha kiana,hujishtukii?
Kama umezowea BAN maana yake wewe ni mvunja sheria mahususi humu JF.Hujajua hoja yangu,mimi ban kwangu ni kawaida tu,issue ni kwanini wengine wanatukana tena matusi makubwa na hawakupigwa ban,
Uwe unajipa muda wa kuelewa jambo kwanza.
Wewe umeshageuka kua kituko hapa ila hujajishtukia tu,hueleweki hata unasimamia nini,Kama umri huu huwezi kusoma statement na kujua lipi ni tusi na lipi siyo kwa mtu wa aina fulani, basi siyo wa kujadili kitu na mtu
Hatari.Wewe umeshageuka kua kituko hapa ila hujajishtukia tu,hueleweki hata unasimamia nini,
Unaruka ruka tu na kujichekesha chekesha hovyo.
Kuna sehemu nimesema nimezowea ban? mbona unakua na akili nzito kiasi hicho? nimesema ban ni kawaida coz ni sheria imewekwa JF.Kama umezowea BAN maana yake wewe ni mvunja sheria mahususi humu JF.
Unaposema huogopi BAN maana yake nini?Kuna sehemu nimesema nimezowea ban? mbona unakua na akili nzito kiasi hicho? nimesema ban ni kawaida coz ni sheria imewekwa JF.
Kuna sehemu nimesema nimezowea ban? mbona unakua na akili nzito kiasi hicho? nimesema ban ni kawaida coz ni sheria imewekwa JF.