Strikers leaving the pitch

Strikers leaving the pitch

Acha kujitoa ufahamu wewe,hapa naongelea matusi aliyomtukana Faiza,je sheria za JF zinamruhusu yeye kumtukana FaizaFoxy ? achana na hilo neno Striker kwanza,jikite kwenye issue ya huyo jamaa yako kumtukana Faiza na kumdhalilisha kiasi hicho.
hayo matusi post namba ngapi? au washafuta jf?
 
Nikipaniki huna uwezo wa kujibishana na mimi,mpaka hapa najitahidi kwa kutumia lugha ya staha,

Sheria iwe kwa wote,sio huyu anatukana matusi makubwa kiasi hicho kisha anaachwa tu.
Ukinitukana mimi ntaishia kukucheka tu..!! Maana hasira ni takataka inayotafutiwa jalala la kuziweka. Siwezi ruhusu kuwa jalala la hasira au machungu yako..!!
 
= Striker

Kiufasaha wa msamiati wa Kingereza "striker" huwa ni mmoja tu, ondowa hiyo s inayoashiria uwingi. C haipo kabisa katika hilo neno.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Wakati flani ni vizuri kuficha upumbavu wako. Wewe wa kwa Mtogole/Manzese kwa Mfuga fisi kweli unaweza ikosoa Oxford Dictionary? Hii Tanzania ndo maana kila mtu anaitwa Dr. Kama vile ni makalio ambayo kila mtu anaweza kuwa nayo. Muwe mna heshimu Taaluma ndugu zanguni. Inapatikana kwa shida na akili.

Screenshot_2024-07-30-10-08-39-768_com.android.chrome~2.jpg
 
Utahangaika sana kudhani unayoyadhani.
Mods wamesha futa matusi ya huyo unayemtetea na amepigwa ban kuchangia hapa,
Sasa jiulize,kwanini matusi ya huyo unayemtetea yamefutwa na mods ila neno alilorekebisha Faiza halijafutwa? coz sio tusi hata kama kakosea,watakuja wengine watamsahihisha zaidi,hakuna anayejua kila kitu.
 
NImesema, kuhusu matusi watajuana wenyewe. Kwangu mimi nataka tu kujua kama STRIKER lina uwingi ambao ni STRIKERS au la..!!
 
Na wewe umeanza kutukana..!! 😀 😀 😀 😀 😀 Nilidhani na wewe ni muumini wa watu wasitukanane, kumbe wale wale tu..!!
Hujajua hoja yangu,mimi ban kwangu ni kawaida tu,issue ni kwanini wengine wanatukana tena matusi makubwa na hawakupigwa ban,
Uwe unajipa muda wa kuelewa jambo kwanza.
 
Tusi liko wapi hapo?

Halafu punguza kunishobokea,naona unajilengesha kiana,hujishtukii?
Kama umri huu huwezi kusoma statement na kujua lipi ni tusi na lipi siyo kwa mtu wa aina fulani, basi siyo wa kujadili kitu na mtu
 
Hujajua hoja yangu,mimi ban kwangu ni kawaida tu,issue ni kwanini wengine wanatukana tena matusi makubwa na hawakupigwa ban,
Uwe unajipa muda wa kuelewa jambo kwanza.
Kama umezowea BAN maana yake wewe ni mvunja sheria mahususi humu JF.
 
Kama umri huu huwezi kusoma statement na kujua lipi ni tusi na lipi siyo kwa mtu wa aina fulani, basi siyo wa kujadili kitu na mtu
Wewe umeshageuka kua kituko hapa ila hujajishtukia tu,hueleweki hata unasimamia nini,
Unaruka ruka tu na kujichekesha chekesha hovyo.
 
CCM ni ile ile hata watoe watu wote waweke kuku kuwa wanachama...
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Kuna sehemu nimesema nimezowea ban? mbona unakua na akili nzito kiasi hicho? nimesema ban ni kawaida coz ni sheria imewekwa JF.

Kwahiyo maneno Kama

Mungu akupe HEKIMA Sana I pray for you muache kujifanya mnajua kila kitu kumbe kuna mambo hata hamjui
 
Back
Top Bottom