hehehe Ila bana tuende turudi mimi bana the best strip tease kwangu ni mdada kunivalia kanga ilofungwa kifuani halaf huku chini chupa za bia hazina hata kovu ya upele, zinachungulia chungulia kanga ikikaa upande. Hakyanani naweza nikahonga hela ya ugali yote na kama haikutosha nauza laptop.
Lizzy hii thread yako imenifanya niwaze sana aisee.....hasa ilipokuja issue ya jumbo (ukubwa wa umbo na minyama uzembe kwa hisani ya Klorokwini na Kongosho) Hiviiiii kwa kibantu mipako ya hina, mifukizo ya udi, khanga za India zilolowesha kusudi na zile catwalk tunazozifanyaga chumbani in sexy lingeries au night dresses ....haiwezikuwa defined kama aina ya pekee ya strip teasing? Au strip ni lazima uchojoe? lengo si ni lile lile?
nadhani nazo zina mvuto wa dance tu.
Hiyo mifukizo ya udi na kijikanga kimoja cha india tena chepeeesiiii na usiwe na kitu ingine na nilisikia siri ya kanga kiwe kinakataa kataa kufungika mara kinataka kuanguka anguka.
Wewe mpira umeanza rudi kule Santiago Bernabeu.nadhani nazo zina mvuto wa dance tu.
Hiyo mifukizo ya udi na kijikanga kimoja cha india tena chepeeesiiii na usiwe na kitu ingine na nilisikia siri ya kanga kiwe kinakataa kataa kufungika mara kinataka kuanguka anguka.
Chagua maneno yalopoa
mie nina hasira za karibu
niko kwenye mkesha na wapendwa.
Nisije haribu hali ya hewa bure.
Shem! hata mimi limwanamke kama kila siku linaniletea ayo mapozi ya kuvua nguo kwa muziki nitalifikiria ni freemason tu. Haya mambo yanatakiwa yawe once in a grey moon.
heheeh shem hapa niko vere neutral. Unajua shem wanawake wengi (sio wote) wakidanganywa saluni kwamba kitu flani kinawapagawisha wanaume, basi hawajiangalii kwenye vioo na kujithamini kama hicho walichoambiwa kinaendana na mwonekano wao au mazowea ya wenza wao?. Utakuta jimama lina kilo 105 linakuja kukufanyia lap dance , linakukalia hata pumzi haupati halafu hiyo ndio anachukulia kwamba anakupagawisha na kukukoleza, pengine kwakuwa tu kaona sredi ya Lizzy kwamba lap dance inawapagawisha wanaume.
Hahahah Shemeji Klorokwini na Babu DC loh..........Bana sasa hapa mwansema mie mjue! Kilo 105 na lap dance mwe..... ngoja njirudie kwenye mdumange wangu mie hayo malap dance niwaachie viportable kina Lizzy mwe!!
Umeongea pwenti ya maana sana konnie, unaona limama lina hips kama JLo kumbe maboksi matupu, ukifika nae gesti akivua yale maboksi yake tu unamkumbuka Mungu na Evolution. Nyambaaf zao! hapa loya nimeongea kwa hasira sana
Mwj1 juu ya mstari....
"striptease" ya mdumange, baikoko, khanga moko mbendembende "laki si pesa!" ndio niipendayo miye....!
....hahahahahahaha....e bana weeee! mie mwenyezi mungu ameninusuru mpaka umri huu sijawahi kutana na 'mazingaombwe' hayo....duuuhhh!? shida yote ya nini? ..nimeridhika na naturals za soulmate wangu...
Mami unajaribu hata gizani. . . lolzzzz. . .
Bishanga
Kupanga ni kuchagua. Mkiamua kuchokana mtachokana na mkiamua kuwekana roho juu kwa vikorombwezo mnavyovijua nyie excitement itakuwepo every once in a while.
Haya mama mwaga hapa hiyo tuition ya vikorombwezo tukusikie.
Halafu ukiliona lichuchu mahali liambie nalitafuta na kopo la salfyuriki asidi.
ngoja niombe show kwa bonge konnie.Wenye wake vibonge msiombe huu mchezo mchezewe sex dancing ni tamu kwa shaped thin girl only.KAMA UNABISHA OMBA SHOW KWA BONGE WAKO UONE.
Haahahahah........... we kweli umedata shemeji. Dah..........haya good lucky kwa wenye miguu ya bia!!
....hahahaha, umedata!!!!
....e bana kwakuwa wewe ni fido dido unaona wote wanakoseshwa pumzi ee?
fikiria Mzee Komba anachezewa hiyo strip tease na kabinti kama Lulu vile!...
Mwj1 juu ya mstari....
"striptease" ya mdumange, baikoko, khanga moko mbendembende "laki si pesa!" ndio niipendayo miye....!
....hahahahahahaha....e bana weeee! mie mwenyezi mungu ameninusuru mpaka umri huu sijawahi kutana na 'mazingaombwe' hayo....duuuhhh!? shida yote ya nini? ..nimeridhika na naturals za soulmate wangu...
ngoja niombe show kwa bonge konnie.