Strip tease. . .

Strip tease. . .

klorokwini
Hivi lawyer na wewe hua unadanganyika kama vile umetoka bush jana? Hua hayalingani bana. . .yani ni 1 x 0.89 na sio 1x1.
Lizzy

Linapokuja suala la kutamani kwa macho na hii jinsia yetu takriban wengi wetu tunadanganyika including raisi wetu. Sisi tukiona linatikisika tu vipimo vyote vinapotea aisee. Mungu atatulipia lakini
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha. . . somo bwana. . . kwahiyo tunaoringa na perege bado kabisa? Basi aibuuu!!

Ndo maana nikakuchagua wewe. . .najua mzew hatopata hasara!!lolzz

ni kweli lakini na wewe una tuutundu flani mmm!sio siri huwa nakukopi shosti..
 
Nihonge basi. .
Haki nakuvalia hapa hapa kwenye hii sredi kuonyesha msisitizo.

Tena wewe ndo itakukubali kweli aisee! Staki kwenye sredi bana fafanua dili tumalizane, ikibidi niwahi loan kabisa.
 
Chagua maneno yalopoa

mie nina hasira za karibu
niko kwenye mkesha na wapendwa.

Nisije haribu hali ya hewa bure.

ni kweli lakini na wewe una tuutundu flani mmm!sio siri huwa nakukopi shosti..
 
i just looove strip tease,,, it works for me and my man as well, i loove all the kinky stuff too,, khaa!!
 
Tena wewe ndo itakukubali kweli aisee! Staki kwenye sredi bana fafanua dili tumalizane, ikibidi niwahi loan kabisa.

klorokwini. . .
Hahahahaha mi nataka hapa hapa ili wasiojua kufunga kanga nao wajue. Wahi basi. . .

Alafu hapo juu inabidi mpunguze papara. . .mtadanganyikaje kirahisi hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Chagua maneno yalopoa

mie nina hasira za karibu
niko kwenye mkesha na wapendwa.

Nisije haribu hali ya hewa bure.
Kwani unatarajia kukasirika hapa kwenye hili somo Kongosho?
 
Last edited by a moderator:
Huu ustaarabu wa kimagharibi huu,kazi kwelikweli!
 
Hiyo dansi ya nini wakati miili ya kibantu ni dansi tosha ya kumfanya mwanaume rijali apate charge. Wanaume waafrika Wala hatuhitaji mwanamama avue nguo zote. Ukiona hivyo jua doro.
 
Kim anatumia maneno yalovua nguo, sasa mie naanza kuona nyota nyota mkeshani, si ntamrukia pasta bure?

Ayapooze kidogo.

Kwani unatarajia kukasirika hapa kwenye hili somo Kongosho?
 
Last edited by a moderator:
na hivi vyakula vya kisasa, unathubutu kuvua mbele ya mtu na kudance?

Mtu ana nyama nyingi kama mcheza Sumo au avatar ya Ndyoko badala ya kumfurahisha unamtisha.

Usione watu maofisini wamependesha humo ndani nyama zimeshonewa mifuko ya kuzibana akivua zinamwagika, vibration ya nyama inatulia baada ya nusu saa.

Mie sidhani hapa kama napaweza.

ha ha ha kongosho una balaa wewe..
 
klorokwini. . .
Hahahahaha mi nataka hapa hapa ili wasiojua kufunga kanga nao wajue. Wahi basi. . .

Alafu hapo juu inabidi mpunguze papara. . .mtadanganyikaje kirahisi hivyo?
Lizzy
Sawa bana! ngoja nikiludi ofisini nitakuwa na dedication yako. Smile basi.
Acha niwahi Estadio Santiago Bernabeu nikashuhudie madrid anavyobonyezwa kizenji.
Msalimie yule basi
 
Last edited by a moderator:
Basi twagawana maujanja somo. . .
Kila mmoja anaongezea kwake.

Ni kweli kama hili la kutiana hamasa kwa kuitumia miili yetu bila kuigusanisha ni somo zuri sana kwa pande zote mbili na baada ya vitimbi hivyo yafaa pia mtoto wa kike ujue jinsi ya kumsika mwanaume aliye uchi na mtoto wa kiume pia ajue jinsi ya kukushika wewe ukiwa uchi..upo ushikaji wake sio kukurupuka tu,ni somo pana kiasi...!
 
Lizzy, nadhani concept ya kum-turn on mwenzio kwa kumtamanisha mwili wako ipo. Sijui kwa makabila mengine ila kwa kabila letu kuna mambo hua tunafundwa yanafanana na strip tease, ingawa haya involve undressing in slow motion etc. Just erotic dressing, dancing, manukato na mengineyo.
Pia kuna personal initiative maana siku hizi kuna kufundwa kwa internet pia. Some people actually dare and it is appreciated. But it is not an alternative for one who likes strip clubs.


mmh inaelekea na wewe ni mkali wa chini chini . sina la kusema . ila i wish ningepata kujua kabila lako . lol
 
mmh inaelekea na wewe ni mkali wa chini chini . sina la kusema . ila i wish ningepata kujua kabila lako . lol

binti wa wagosi wa kaya huyo ,anatoka wanakokula ngooogwe za kuchoma na ugali,mosie mgosi wa ndima nimekujibu?
 
Back
Top Bottom