Strip tease. . .

Strip tease. . .

Hahahah Shemeji Klorokwini na Babu DC loh..........Bana sasa hapa mwansema mie mjue! Kilo 105 na lap dance mwe..... ngoja njirudie kwenye mdumange wangu mie hayo malap dance niwaachie viportable kina Lizzy mwe!!
 
''wind for me..........slow wind for me.....wind for me......slow wind for me''....kusema sasa ndo ishu lizzy lakini kutamani naamini wengi tu,ila sasa unaanzaje!?unaweza hata kusitishiwa ile huduma ambayo hilo zoezi lingeipelekea i-take place aisee!!
 
Li Bishanga Abashaija likija humu ntalimwagia ile kemikali

Binafsi napenda sana lap dance...na strip clubs zimenimalizia sana hela zangu na siku hizi siendi kabisa. Mara ya mwisho kwenda ilikuwa 2007.

It was just a waste of my hard earned money.

Bwa'Nchuchu. . .
How about a private show then? Utafurahia kama hiyo ya kulipia?

RUSSIAnRoulate. . .
Inabidi tufundishane na hizo za asili bana.

MwanajamiiOne
Mami iwe kwa nia ile ile watu wanayofanyia mambo mengine. . .kufurahishana na kuburudishana bila kusahau kuongeza manjonjo kwenye mahusiano.
 
Last edited by a moderator:
Nchi za wenzetu wanaume.hua wanaenda strip club kuangalia wanawake wakicheza taratibu na kwa madaha huku waki'undress. . .sina uhakika na huku kwetu.

Nwy ni dhahiri kwamba wanaume hua wanapenda kutazama wanawake(furaha ya macho) wakifanya mambo tofauti tofauti. . .kuonyesha kiuno kilivyolegea being one of those things. Sasa wewe kama mwanaume utajisikiaje/unafikiriaje swala la mwenzi wako kukupa "private show" badala ya kuishia kuangalia kwenye TV au kwenda strip club?

Badala ya kuvuana chap'chap mnawekana sawa kivingine.A 'lil bit of music. . .slow dancing. . .slow whining. . .teasing you. . getting undressed infront of you au hata poll dancing tena bila kutakiwa kutoa noti noti ili show iendelee.

UTAPENDA au HUTOPENDA? Kama utapenda mwenzio anajua hilo au unaishia kutamani tu?
kwa taarifa yako mwanamke ukishaishi naye muda mrefu no more excitement no more muwashawasha hata ham ya kumwogesha huna tena sembuse strip tease! no wonder with time hata ham ya ku do huwa inapungua kama sio kutoweka,hujamsikia kongosho anaongelea mme kuvishwa pop? unadhani utani?
 
na hivi vyakula vya kisasa, unathubutu kuvua mbele ya mtu na kudance?

Mtu ana nyama nyingi kama mcheza Sumo au avatar ya Ndyoko badala ya kumfurahisha unamtisha.

Usione watu maofisini wamependesha humo ndani nyama zimeshonewa mifuko ya kuzibana akivua zinamwagika, vibration ya nyama inatulia baada ya nusu saa.

Mie sidhani hapa kama napaweza.
 
Hahahah Shemeji Klorokwini na Babu DC loh..........Bana sasa hapa mwansema mie mjue! Kilo 105 na lap dance mwe..... ngoja njirudie kwenye mdumange wangu mie hayo malap dance niwaachie viportable kina Lizzy mwe!!

Mami unajaribu hata gizani. . . lolzzzz. . .

Bishanga
Kupanga ni kuchagua. Mkiamua kuchokana mtachokana na mkiamua kuwekana roho juu kwa vikorombwezo mnavyovijua nyie excitement itakuwepo every once in a while.

DarkCity
Babu DC hii kitu hamna mama/dada anaeweza kumfanyia mwenzi kila siku maana hata muda hautokuwepo. Ni mambo ya kushangazana tu mara moja moja kama ile ya kuanzisha genu mwenyewe. . .haitakiwi izoeleke wala itarajiwe.

klorokwini
Hehehehehe. . . .
Sasa wewe kilo 105 unaona mzigo?Mbona kwingine mnawezana bila tatizo? Acha kudeka we lawyer. . .
 
Last edited by a moderator:
Ngoja wenye wake waje,ngoja niangalie mechi ya Barca na Chelsea!
Aisay siamini kabisa kama tumekosa vikombe vyote, yani katika week moja tu tumefungwa mara mbili na hutujashinda hata match moja katika tatu.

Hii mechi ase. .
I min ya barca. . .Utata mtupu. .
Aisay yani ni first time messi ka missed a penalty in a champion league.
 
na hivi vyakula vya kisasa, unathubutu kuvua mbele ya mtu na kudance?

Mtu ana nyama nyingi kama mcheza Sumo au avatar ya Ndyoko badala ya kumfurahisha unamtisha.

Usione watu maofisini wamependesha humo ndani nyama zimeshonewa mifuko ya kuzibana akivua zinamwagika, vibration ya nyama inatulia baada ya nusu saa.

Mie sidhani hapa kama napaweza.

Kongosho
Ha ha ha ha ...nimecheka kwa kituo. Dah............ we kongosho tafadhali watu tunajijadaladia ukikaona kakiuno ka Mj1 hapa unakatamani kuuumbe! hahh vibration yake nusu saa hahah.

Kwa style hii mwenzangu akhu! stripini wenyewe bana. Mbu mwenyewe mwoga nkiomwagia hizi nyama uzembe si ndo atapaa kabisa na buzz asinachie? !

Lizzy

Mamii, ninatamani hata huo mdumange wangu wa bafuni sichezi tena!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mami unajaribu hata gizani. . . lolzzzz. . .

Bishanga
Kupanga ni kuchagua. Mkiamua kuchokana mtachokana na mkiamua kuwekana roho juu kwa vikorombwezo mnavyovijua nyie excitement itakuwepo every once in a while.

DarkCity
Babu DC hii kitu hamna mama/dada anaeweza kumfanyia mwenzi kila siku maana hata muda hautokuwepo. Ni mambo ya kushangazana tu mara moja moja kama ile ya kuanzisha genu mwenyewe. . .haitakiwi izoeleke wala itarajiwe.

klorokwini
Hehehehehe. . . .
Sasa wewe kilo 105 unaona mzigo?Mbona kwingine mnawezana bila tatizo? Acha kudeka we lawyer. . .
Lizzy
hehehe hata huko kwengine bana ukiliona jimama limebeba miili ya watu wawili halafu linaleta mazingaombwe ya lap dance tena liko all over your breathing system hakyanani unaweza ukatokea dirishani labda hiyo strip tease aifanye bila lap dance tena aifanye mbali kidogo ili ikitokea bahati mbaya akateleza aangukie japo TV lakini sio mimi.

The point is, tujitathmini kabla kufanya mambo ambayo tunayachukulia so general.
 
Last edited by a moderator:
MwanajamiiOne, haya mambo lazima kuwa mwangalifu kabla ya kujitutumua.

Unaweza tisha badala ya mzuka.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy
hehehe hata huko kwengine bana ukiliona jimama limebeba miili ya watu wawili halafu linaleta mazingaombwe ya lap dance tena liko all over your breathing system hakyanani unaweza ukatokea dirishani labda hiyo strip tease aifanye bila lap dance tena aifanye mbali kidogo ili ikitokea bahati mbaya akateleza aangukie japo TV lakini sio mimi.

The point is, tujitathmini kabla kufanya mambo ambayo tunayachukulia so general.

klorokwini

Hahahaha Huo mstari wako wa mwisho shemeji............. uko mpana sana aisee, nawaza kwa nguvu hapa mambo ya G-string, thong hah nijiangalie kwanza sio?
 
Last edited by a moderator:
Usione watu maofisini wamependesha humo ndani nyama zimeshonewa mifuko ya kuzibana akivua zinamwagika, vibration ya nyama inatulia baada ya nusu saa.

Umeongea pwenti ya maana sana konnie, unaona limama lina hips kama JLo kumbe maboksi matupu, ukifika nae gesti akivua yale maboksi yake tu unamkumbuka Mungu na Evolution. Nyambaaf zao! hapa loya nimeongea kwa hasira sana
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Umeongea pwenti ya maana sana konnie, unaona limama lina hips kama JLo kumbe maboksi matupu, ukifika nae gesti akivua yale maboksi yake tu unamkumbuka Mungu na Evolution. Nyambaaf zao! hapa loya nimeongea kwa hasira sana

klorokwini
Sasa wewe loya chumbani unafuata mahips????
 
Last edited by a moderator:
klorokwini

Hahahaha Huo mstari wako wa mwisho shemeji............. uko mpana sana aisee, nawaza kwa nguvu hapa mambo ya G-string, thong hah nijiangalie kwanza sio?
MwanajamiiOne
Shem, tena jiangalie sana cuz kwahilo hata mimi ni shuhuda, mimi bana napendelea mdada anivalie zile ambazo unahitaji kupekua ndio ufike destination sio hayo uloyataja (though wapo wanaume wanaoyapenda kuvaliwa na wenza wao) (na wapo wadada ambao yanawakubali na wapo ambao yanawafanya wanaonekana kituko tu) if you know whar am seyiing
 
Lizzy Strip show Majumbani kwetu zilikuwepo na bado zipo ila kwa style tofauti, Mfano mzuri Mwanaume Kamili ukimvalia Transparent night dress without under wear hiyo kwangu ni strip show tosha kabisa.

Tatizo lilopo sasa hivi katika nyumba nyingi ni mahusiano yamekuwa ya kubeep sana na ndoa zinajiendesha zenyewe kwa style ya Bluetooth, ndio sababu ya Wanaume wengi kwenda kwenye hizo show, infact amani zimetoweka na ugumu wa maisha unachangia.

Hivi Fikiria hata kanga moja ndembe ndembe je hili nalo ni shida kwa mwanamke kumrusha roho mumewe? mtoto wa kike uko nyumbani tena some time mko wawili tu bado umeng'ang'ana kuvaa Jeans!! nawashangaa kina dada siku wana vazi eti linaitwa dela linkunjiwa fundo kiunoni pamoja na chupi hapa wanadhani ndio kumrusha roho Mwanaume?

Badly nilichokigunduwa mimi wanawake wengi wa Kibongo hawapendezi au kuvaa mivao ya kurusha roho kwa ajili ya wenza wao bali Intention yao ni kwa outsiders!!...very sad.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom