klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hahah umeona ee? yaani mkuu BAK bana haya mambo yote tunayofanyiana vyumbani hayahitaji wigo tu, yanahitaji na tathmini ya hali ya juu.Mhhhh! lol! aisee nimecheka sana hahahahaha lol! Naam haya mambo lazima bibie awe na figure inayolipa vinginevyo karaha tupu 🙂🙂