klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Poa jibaba nimeinyaka.
Hii Mwali haimfai kweli, hii bila msuba hainogi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa jibaba nimeinyaka.
Li Bishanga Abashaija likija humu ntalimwagia ile kemikali
Binafsi napenda sana lap dance...na strip clubs zimenimalizia sana hela zangu na siku hizi siendi kabisa. Mara ya mwisho kwenda ilikuwa 2007.
It was just a waste of my hard earned money.
kwa taarifa yako mwanamke ukishaishi naye muda mrefu no more excitement no more muwashawasha hata ham ya kumwogesha huna tena sembuse strip tease! no wonder with time hata ham ya ku do huwa inapungua kama sio kutoweka,hujamsikia kongosho anaongelea mme kuvishwa pop? unadhani utani?Nchi za wenzetu wanaume.hua wanaenda strip club kuangalia wanawake wakicheza taratibu na kwa madaha huku waki'undress. . .sina uhakika na huku kwetu.
Nwy ni dhahiri kwamba wanaume hua wanapenda kutazama wanawake(furaha ya macho) wakifanya mambo tofauti tofauti. . .kuonyesha kiuno kilivyolegea being one of those things. Sasa wewe kama mwanaume utajisikiaje/unafikiriaje swala la mwenzi wako kukupa "private show" badala ya kuishia kuangalia kwenye TV au kwenda strip club?
Badala ya kuvuana chap'chap mnawekana sawa kivingine.A 'lil bit of music. . .slow dancing. . .slow whining. . .teasing you. . getting undressed infront of you au hata poll dancing tena bila kutakiwa kutoa noti noti ili show iendelee.
UTAPENDA au HUTOPENDA? Kama utapenda mwenzio anajua hilo au unaishia kutamani tu?
Hahahah Shemeji Klorokwini na Babu DC loh..........Bana sasa hapa mwansema mie mjue! Kilo 105 na lap dance mwe..... ngoja njirudie kwenye mdumange wangu mie hayo malap dance niwaachie viportable kina Lizzy mwe!!
Aisay siamini kabisa kama tumekosa vikombe vyote, yani katika week moja tu tumefungwa mara mbili na hutujashinda hata match moja katika tatu.Ngoja wenye wake waje,ngoja niangalie mechi ya Barca na Chelsea!
Aisay yani ni first time messi ka missed a penalty in a champion league.Hii mechi ase. .
I min ya barca. . .Utata mtupu. .
Kumbe umeisha pitia step hio safi sana.Badala ya kuvuana chap'chap
na hivi vyakula vya kisasa, unathubutu kuvua mbele ya mtu na kudance?
Mtu ana nyama nyingi kama mcheza Sumo au avatar ya Ndyoko badala ya kumfurahisha unamtisha.
Usione watu maofisini wamependesha humo ndani nyama zimeshonewa mifuko ya kuzibana akivua zinamwagika, vibration ya nyama inatulia baada ya nusu saa.
Mie sidhani hapa kama napaweza.
LizzyMami unajaribu hata gizani. . . lolzzzz. . .
Bishanga
Kupanga ni kuchagua. Mkiamua kuchokana mtachokana na mkiamua kuwekana roho juu kwa vikorombwezo mnavyovijua nyie excitement itakuwepo every once in a while.
DarkCity
Babu DC hii kitu hamna mama/dada anaeweza kumfanyia mwenzi kila siku maana hata muda hautokuwepo. Ni mambo ya kushangazana tu mara moja moja kama ile ya kuanzisha genu mwenyewe. . .haitakiwi izoeleke wala itarajiwe.
klorokwini
Hehehehehe. . . .
Sasa wewe kilo 105 unaona mzigo?Mbona kwingine mnawezana bila tatizo? Acha kudeka we lawyer. . .
Lizzy
hehehe hata huko kwengine bana ukiliona jimama limebeba miili ya watu wawili halafu linaleta mazingaombwe ya lap dance tena liko all over your breathing system hakyanani unaweza ukatokea dirishani labda hiyo strip tease aifanye bila lap dance tena aifanye mbali kidogo ili ikitokea bahati mbaya akateleza aangukie japo TV lakini sio mimi.
The point is, tujitathmini kabla kufanya mambo ambayo tunayachukulia so general.
Usione watu maofisini wamependesha humo ndani nyama zimeshonewa mifuko ya kuzibana akivua zinamwagika, vibration ya nyama inatulia baada ya nusu saa.
Umeongea pwenti ya maana sana konnie, unaona limama lina hips kama JLo kumbe maboksi matupu, ukifika nae gesti akivua yale maboksi yake tu unamkumbuka Mungu na Evolution. Nyambaaf zao! hapa loya nimeongea kwa hasira sana
MwanajamiiOneklorokwini
Hahahaha Huo mstari wako wa mwisho shemeji............. uko mpana sana aisee, nawaza kwa nguvu hapa mambo ya G-string, thong hah nijiangalie kwanza sio?
Kachumbali ina umuhimu wake kwenye makulati shemklorokwini
Sasa wewe loya chumbani unafuata mahips????