Njiwa wangu
Senior Member
- Dec 5, 2020
- 146
- 289
Habarini wakuu, naomba kuingia kwenye mada,
Kwanza shukrani kwa wote mlionisaidia kunikutanisha na provider wa internet na nimefanikiwa,
Nimekuja kwenu vijana niliomaliza chuo kwa upande wa IT na ambao bado hamjaingia kwenye ajira na bado hakuna sehemu ya kujishikiza na una wazo zuri ila hujui wapi unaanzia niwaombe karibuni sana nipate mawazo yenu nini tunaweza kufanya hata mwisho wa siku tuwe na app nzuri na hata kututambulisha kimataifa na kunufaika kwayo.
Wale wote ambao unafikiri kupata nafasi ya kuja kwangu na kuja kuanza kudownload game na move kama una mawazo hayo tafuta kaa mbali hapa nahitaji watu ambao wana mawazo chanya na uchungu wa maisha karibuni sana mjadala huu tutauundia group la whatsap na kupata mawazo na nitahitaji watu 10 Bora hawa iwe mvua ama jua nitakufa nao kuhakikisha tunafanikiwa kula na nauli zitapatikana.
Mahali ni Dar
Karibu
WhatsApp
0622360382