before all naomba msinichukulie vibaya kwamba nakuja kuwapondae wakenya hap a lahasha lengo langu nikuwaelimisha wote wanajukwa kuhusu strangest currency kwanini sometime huwez kuitumia ku determine ukubwa wa uchumi Hili nimeliona kwa wakenya wengi hujidai kuwa shillingi ya kubwa basi na uchumi wao ni mkubwa hilo sio kweli# maana kuna nchi zengine zina pesa dhaifu sana kuzidi shilingi ya Kenya lakini ni nchi tajiri tena third biggest economy in the world mfano mzuri ni Japan hela Yao inaitwa Yen ipo weak na chini ya shilingi ya kenya but kenya with the strong currency is the among of the poorest country in the world along with Burundi