strongest currency sometimes cannot determine economy

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
962
before all naomba msinichukulie vibaya kwamba nakuja kuwapondae wakenya hap a lahasha lengo langu nikuwaelimisha wote wanajukwa kuhusu strangest currency kwanini sometime huwez kuitumia ku determine ukubwa wa uchumi Hili nimeliona kwa wakenya wengi hujidai kuwa shillingi ya kubwa basi na uchumi wao ni mkubwa hilo sio kweli# maana kuna nchi zengine zina pesa dhaifu sana kuzidi shilingi ya Kenya lakini ni nchi tajiri tena third biggest economy in the world mfano mzuri ni Japan hela Yao inaitwa Yen ipo weak na chini ya shilingi ya kenya but kenya with the strong currency is the among of the poorest country in the world along with Burundi
 
Peleka povu LDC
 
Sasa kama hukunuia kuiponda Kenya mbona mada yako umeieka hapa Kenya News? Mbona hujaieka kwenye jukwaa la Habari na hoja mchanganyiko, au hata kwenye jukwaa la Love Connect?
ntaka niwaelimishe wakenya masuala ya uchumi hasa hasa currency economy# maana nimeona wakenya wengi wanabrag kuwa na strongest currency in East Africa
 
Huh,si huwa mnaota Kenya,usiku na mchana.Pelekeni ujinga LDC,ka ni kupata elimu,wakenya wako na kisomo cha hali ya juu kushinda shengesha za LDC Tz.
 
sasa tangu lini mtanzania akamuelimisha mKenya? watanzania wenyewe wamevamia shule za Kenya kutafuta elimu.
maoni yako jiekee
 
ntaka niwaelimishe wakenya masuala ya uchumi hasa hasa currency economy# maana nimeona wakenya wengi wanabrag kuwa na strongest currency in East Africa
Imekuuma ee? Kwamba waKENYA wana'brag' na KENYA shilling? Ulitaka tu'brag' na Tz mashilingi au? 😀 Nilikwambia una akili maandas ukabisha, sasa ona!
 
Peleka povu LDC
kenya is LDC too don't believe your cooked Gdp am economist I know all shit economic theory done by World Bank and IMF# Leo ni hayo tu tukutane mwakani # bye bye
 
Wacheni kujiliwaza na hilo lishilingi lenu madafu, waulize watu wanaoagiza bidhaa kwa dollar ndio watakuambia umuhimu wa kuwa na sarafu iliyoimarika na yenye hadhi. Japani hamuwezi kujilinganisha nao maana hawategemei sana kuagiza vitu kutoka nje, wanavyo viwanda, lakini nchi kama Tanzania ambayo huagiza sindano, pipi na kila kitu, lazima ijizatiti kuimarisha shilingi yake.

Sasa nchi yenyewe maskini, bado inatajwa kweye orodha ya nchi maskini wa kutupwa, haina viwanda na shilingi yake dhaifu halafu leo hii mnataka kujilinganisha na Japan.
 
ww maria cordoba... ishia
219781_cbcde78b708a5af40ff548e585b098e9.jpg
 
sasa tangu lini mtanzania akamuelimisha mKenya? watanzania wenyewe wamevamia shule za Kenya kutafuta elimu.
maoni yako jiekee
Lazima waje Kenya, maanake kwenye zile shule zao, wanaziitaga English medium. Huwa wanafunzwa kwamba, yule mnyama mwenye shingo ndeeefu, anayekula majani yaliyo juu kabisa kwenye miti mirefu, kwa lugha ya kiingereza huwa anaitwa rat! Hehehe! 😀😀😀
 
Carrecy is not the measure of economy. Hata ukiangalia Kenya na S. Korea. Kenya currency ipo juu ya S. Korea lakini kiukweli S. Korea inaiacha Kenya mamillion ya hatua.
 
kenya is LDC too don't believe your cooked Gdp am economist I know all shit economic theory done by World Bank and IMF# Leo ni hayo tu tukutane mwakani # bye bye
Haha mashambulio yamezidi ukaamua kutoroka. Haha. Hio topic ni darasa la kwanza. Leta topic ingine
 
Povu kuubwaa hahaha
Yani, Wakenya wanamwaga povu wasipoangalia watatereza na kuanguka kwenye povu lao wenyewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Povu gani bana. Kenya bado tunatumiaga coins jombaa. Kwenu andazi moja shilingi mia, soda kwa mkate elfu na upuuzi juu yake! Wanaume wenye midevu mnatembea na magazeti kwenye wallet! Hivi karibuni ndo mtaanza kuyapakia kwenye magunia! 🙂
 
Unakosa kuelewa dhana zima ya pesa, pesa ni symbol representing particular value. Ukitumia coin au ya karatasi haibadilishi maana ya pesa. Kuna nchi zina uchumi mkubwa kuliko wa Kenya, wameacha hata kushika pesa mkonini, wanatumia digital wallet, ie China, India and some European countries.
 
Kwa hivyo dhamani ya shilingi ya Kenya ni bure tu? Unadhani hata tukiingia kwenye 'digital currency' ndo hamna 'exchange rates'? Kuna vitu vingine si vya kubisha bana! Za madafu zitabaki kuwa za madafu tu, koma kujiliwaza bure.
 
Back
Top Bottom