Jaribu kujielimisha na neno Currency Re-denomination, Ghana walipitia huko 2007. DRC ilikuwa hivyo hivyo leo sio hivyo, wakenya, shule muhimu jamani.Kwa hivyo dhamani ya shilingi ya Kenya ni bure tu? Unadhani hata tukiingia kwenye 'digital currency' ndo hamna 'exchange rates'? Kuna vitu vingine si vya kubisha bana! Za madafu zitabaki kuwa za madafu tu, koma kujiliwaza bure.
Mbavu zanguπ‘π‘ππππππPovu gani bana. Kenya bado tunatumiaga coins jombaa. Kwenu andazi moja shilingi mia, soda kwa mkate elfu na upuuzi juu yake! Wanaume wenye midevu mnatembea na magazeti kwenye wallet! Hivi karibuni ndo mtaanza kuyapakia kwenye magunia! π
Hahaa ze panyazz[emoji3] [emoji3] [emoji239] [emoji241] [emoji191] [emoji202] [emoji196]Lazima waje Kenya, maanake kwenye zile shule zao, wanaziitaga English medium. Huwa wanafunzwa kwamba, yule mnyama mwenye shingo ndeeefu, anayekula majani yaliyo juu kabisa kwenye miti mirefu, kwa lugha ya kiingereza huwa anaitwa rat! Hehehe! πππ
Elimu, elimu, elimu ndo muhimu sio shule. Mbona ikifika siku ya kupiga kura kuna wengi tu huwa wanafika kwenye shule? Hapo kwa elimu watz mna mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wakenya! Cheki mada ya uzi huu. Cheki ubishi unaouleta hapa. Eti ulidhani kwenye 'digital currency' thamani ya pesa na 'exchange rate' hazitiliwi maanani. Eti pesa za madafu zitakuwa sawa na za Kenya! π Baada ya kushindwa kujibu hoja yangu umefika na mapya, 're-denomination'! Hivi huwa unadhani wakenya walipitia kule St. Kayumba, eti utang'aa kwa kutupia maneno ambayo ni misamiati kwako tu? Mbona hiyo ni Intro to Biz 101? Huna hoja, jukwaa la mahusiano na mapenzi linakuhusu!Jaribu kujielimisha na neno Currency Re-denomination, Ghana walipitia huko 2007. DRC ilikuwa hivyo hivyo leo sio hivyo, wakenya, shule muhimu jamani.
Re-denomination inekushinda kuelewa, kwa kutumia njia hiyo tunaweza kigeuza thamani ya pesa yetu ikaoneka juu ya Kenya lakini hiyo pekeyake itaonyesha picha halisi ya uchumi? mada hapa ni value ya currency haionyeshi ukubwa wa uchumi. Lakini wakenya mnahamisha milima kwa kupoteza maana halisi ya hii mada.Elimu, elimu, elimu ndo muhimu sio shule. Mbona ikifika siku ya kupiga kura kuna wengi tu huwa wanafika kwenye shule? Hapo kwa elimu watz mna mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wakenya! Cheki mada ya uzi huu. Cheki ubishi unaouleta hapa. Eti ulidhani kwenye 'digital currency' thamani ya pesa na 'exchange rate' hazitiliwi maanani. Eti pesa za madafu zitakuwa sawa na za Kenya! π Baada ya kushindwa kujibu hoja yangu umefika na mapya, 're-denomination'! Hivi huwa unadhani wakenya walipitia kule St. Kayumba, eti utang'aa kwa kutupia maneno ambayo ni misamiati kwako tu? Mbona hiyo ni Intro to Biz 101? Huna hoja, jukwaa la mahusiano na mapenzi linakuhusu!
Ahaa! Kumbe unakubali mwenyewe kwamba uchumi wa Tz ukilinganishwa na wa Kenya ni bado sana? Ila shilingi ya Tz hata muifanyeje, ngumu sana kuwa na thamani ya juu zaidi ya shilingi ya Kenya. Wewe jiulize kwanini imebakia hivo miaka nenda miaka rudi? Naona matumaini yako yote umeyatia kwenye kapu moja. Kapu la Kenya kutaharibika. Kijana utangoja sana, hizo ni kama dua za kuku, kamwe hazitomfikia mwewe! Nikirudi kwenye gia yako, na unavoibadilisha hewani. Re-denomination nilikuambia ni Intro to bizness 101 huku Kenya. Sijui kama umeelewa namaanisha nini? As things stand, Kenyan currency has a higher value than Tanzania's. When that happens halla at your boy! Siku nyingine usijaribu kuhadaa watz wenzako kwamba thamani ya pesa inapotea ikifika kwenye 'digital currency'. Thamani ya tzshs inabaki ya tzshs na ya KES hivo hivo!Re-denomination inekushinda kuelewa, kwa kutumia njia hiyo tunaweza kigeuza thamani ya pesa yetu ikaoneka juu ya Kenya lakini hiyo pekeyake itaonyesha picha halisi ya uchumi? mada hapa ni value ya currency haionyeshi ukubwa wa uchumi. Lakini wakenya mnahamisha milima kwa kupoteza maana halisi ya hii mada.
Currency re domination ati nini huko Kenya?? Duh, bora nimcharazie mbuzi guitar kuliko kuwaelemisha wakenya hapa JF. Anyway taratibu utaelewa.Ahaa! Kumbe unakubali mwenyewe kwamba uchumi wa Tz ukilinganishwa na wa Kenya ni bado sana? Ila shilingi ya Tz hata muifanyeje, ngumu sana kuwa na thamani ya juu zaidi ya shilingi ya Kenya. Wewe jiulize kwanini imebakia hivo miaka nenda miaka rudi? Naona matumaini yako yote umeyatia kwenye kapu moja. Kapu la Kenya kutaharibika. Kijana utangoja sana, hizo ni kama dua za kuku, kamwe hazitomfikia mwewe! Nikirudi kwenye gia yako, na unavoibadilisha hewani. Re-denomination nilikuambia ni Intro to bizness 101 huku Kenya. Sijui kama umeelewa namaanisha nini? As things stand, Kenyan currency has a higher value than Tanzania's. When that happens halla at your boy! Siku nyingine usijaribu kuhadaa watz wenzako kwamba thamani ya pesa inapotea ikifika kwenye 'digital currency'. Thamani ya tzshs inabaki ya tzshs na ya KES hivo hivo!
sasa we kama ukijua kuwa anaitwa giraffe kwa lugha ya kiingereza,inakusaidia nini??mnajiita mna elimu nzuri na haiwasaidii,hamjitambui,mmejawa na fikra za kitumwa bado hadi karne hii..wakenya mnatuaibisha ukanda huu wa Africa mashariki!!Lazima waje Kenya, maanake kwenye zile shule zao, wanaziitaga English medium. Huwa wanafunzwa kwamba, yule mnyama mwenye shingo ndeeefu, anayekula majani yaliyo juu kabisa kwenye miti mirefu, kwa lugha ya kiingereza huwa anaitwa rat! Hehehe! πππ
Kumbe unaelewa kwamba ni Giraffe? Hehe π Tulia mkuu, nilikuwa natania tu!sasa we kama ukijua kuwa anaitwa giraffe kwa lugha ya kiingereza,inakusaidia nini??mnajiita mna elimu nzuri na haiwasaidii,hamjitambui,mmejawa na fikra za kitumwa bado hadi karne hii..wakenya mnatuaibisha ukanda huu wa Africa mashariki!!