Ahaa! Kumbe unakubali mwenyewe kwamba uchumi wa Tz ukilinganishwa na wa Kenya ni bado sana? Ila shilingi ya Tz hata muifanyeje, ngumu sana kuwa na thamani ya juu zaidi ya shilingi ya Kenya. Wewe jiulize kwanini imebakia hivo miaka nenda miaka rudi? Naona matumaini yako yote umeyatia kwenye kapu moja. Kapu la Kenya kutaharibika. Kijana utangoja sana, hizo ni kama dua za kuku, kamwe hazitomfikia mwewe! Nikirudi kwenye gia yako, na unavoibadilisha hewani. Re-denomination nilikuambia ni Intro to bizness 101 huku Kenya. Sijui kama umeelewa namaanisha nini? As things stand, Kenyan currency has a higher value than Tanzania's. When that happens halla at your boy! Siku nyingine usijaribu kuhadaa watz wenzako kwamba thamani ya pesa inapotea ikifika kwenye 'digital currency'. Thamani ya tzshs inabaki ya tzshs na ya KES hivo hivo!