Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Baadhi...

Hiyo title ya uchokozi...

Kama baadhi then iko sawa...

Maana situation hiyo hiyo inaweza tokea hata kama sio watu waajiriwa wa ofisi moja, inaweza hata tokea kwa wa mtaa mmoja, waumini, ...

Msingi wa uzi wako umejengwa kwenye mazoea ya mtu mume na mtu mke, kwamba yanaweza pelekea mahusiano ya kimapenzi...
 
Sasa jaman mnatakaje maana bila udambwiudabwi kama huu maofisini maisha yangekuwa magumu sana.

Jane wangu kaa kwa kutulia kesho nina chocolate yako!
 
Kwa hiyo tufanye vipi mkuu?
 
Me mwanamke akiajiliwa t xwez nikamuoa,,, mwanamke inafaa awe hom axe[emoji82][emoji82]
 
Tupia kapicha basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…