Gorgeous96
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 293
- 691
Mi ndo maana huyo bwana akirudi kanuna hata sijichoshi, work wife wake kamkera hasira aniletee mimi akuuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadhi...
Hiyo title ya uchokozi...
Tena wa kike 😆Team kataa ndoa imepata mwanachama mwingine 😂
Sasa jaman mnatakaje maana bila udambwiudabwi kama huu maofisini maisha yangekuwa magumu sana.Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.
Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.
Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.
Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.
Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.
Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.
Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...
Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.
Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.
Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.
Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..
Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...
Donatila
Yaan na maumbea yalivyojaaMaisha yote nilijiwekea msimamo wa kutokuwa na mpenzi sehemu ninayofanya kazi, mpaka hivi leo amani tele.
Ni kosa kubwa zaidi kulifanya ofisini…
Vipi kwa wale members wa jf walio na ofisi zao kwa majukwaa mbalimbali hapa jf nao wana bebe zao humu?kila mke na mume ana bebe wake ofisini.
Hii kitaalam inaitwa "Don't shit where you eat". 🤣🤣Maisha yote nilijiwekea msimamo wa kutokuwa na mpenzi sehemu ninayofanya kazi, mpaka hivi leo amani tele.
Ni kosa kubwa zaidi kulifanya ofisini…
Kwa hiyo tufanye vipi mkuu?Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.
Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.
Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.
Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.
Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.
Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.
Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...
Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.
Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.
Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.
Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..
Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...
Donatila
Me mwanamke akiajiliwa t xwez nikamuoa,,, mwanamke inafaa awe hom axe[emoji82][emoji82]Hii kitu ni mtego sana.
Unajua mume/mke mfanyakazi anatumia muda mwingi na mfanyakazi mwenzake kuliko mwenza wake nyumbani
Hii inaleta ukaribu sana na mfanyakazi mwenzake wa jinsia tofauti kifuatacho ni kunyanduana
Ninafanya kazi na wake za watu, kikweli wengi huwa wakija kazini na stress za ndoa zao lazima wataanza kutafuta mahali pa kueleza hisia zao na kuomba ushauri mara nyingi ni kwa wafanyakazi wenzao wanaume.
Basi mambo huanza na ushauri mpaka kumlala, hapo sijazungumzia safari za kikazi. Ndoa ni utapeli wakuu
Golden rule;
Never date a co-worker
Tupia kapicha basiHabari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.
Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.
Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.
Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.
Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.
Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.
Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...
Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.
Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.
Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.
Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..
Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...
Donatila
Hahaha [emoji23]Hivi huo muda wa kuwaza mke wangu atakuwa anatoka na mtu huko nautoa wapi, nilishaumiaga mpaka saiv nimekuwa kama robot na kiukweli nashukuru kwa hivi nilivyo