Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Yaan na maumbea yalivyojaa
Unabaki kuchorwa tu
Unadhani unajua wewe na jamaa, kumbe jamaa alisha hadithia jamaa zake vikasambaa dept nzima
Hii kitaalam inaitwa "Don't shit where you eat". 🀣🀣
Napenda amani sana na huwa nahakikisha nailinda.

Kuna mipaka nimejiwekea na huwa siivuki ukiwemo huu wa mapenzi ofisini/chuo/ shule… Kote huko sijawahi.
 
Tumia neno 'baadhi '...
 
Kuna maza mmoja alikuwa workmate kabla hajaamishwa kikazi.

Mume wake alikuwa ana kisukari na kama ujuavyo kisukari kinafanya mwanamume ashindwe kutimiza vizuri huduma za kitandani

Basi akaanza kuliwa na mfanyakazi mwenzetu. Yule maza alikuwa ni mtu wa dini sana baadaye dhambi ya usaliti ikamuuma ikabidi aende kuungama.

Kiongozi wa dini akamwambia ili asemehewe lazima akaongee na mume wake kwanza amuombe msamaha

Mpaka anaondoka pale job hakuwa na furaha kabisa yule maza
 
Jamani ukweli utabaki kuwa ukweli tu,Walio na wake wafanyakazi kwa vyovyote ile jua fika Mkeo lazima ana Mwanaume mwingine ambaye ni Mfanyakazi mwenzako mahali hapo au katika Ofisi nyingine.
Tena wale ambao Wame zao sio Wafanyakazi ndio wake zao wanaongoza kwa kuliwa.
 
Hivi mtu na akili zako timamu kabisa unakwenda kuungama Kwa binadamu mwenzako tena huenda anakuzidi madhambi, hii ni akili ya wapi?

Hivi huwezi kuongea na Mungu direct wewe mwenyewe?

Hizi dini zimewatia watu uzezeta kwelikweli.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ new member signed..! Ila usipo date ofsini raha sana, unakuwa na guts za kuchangia maumbea ya waliodate wakamwagana.Ukiolewa heshimu ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…