Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Hiki kipengele cha kuungana ama kukiri dhambi zako kwa kiongozi wako wa dini kimekaa vibaya, ona mama wa watu amezidi kupata hatia baada ya kwenda kwa mtu kuungama, huyo muungamishaji akiwa na stress anakuongezea dhambi badala ya kuondolea.
Mjinga ni Yule anayekwenda kuungama Kwa binadamu mwenzie.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.

Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.

Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.

Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.

Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.

Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.

Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...

Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.

Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.

Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.

Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..

Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...



Donatila
Duu jamani kwahiyo tuwafuatilie mpaka huko maofisini ?
 
Dona kwako kunaungua? Mbona upo kuzua taharuki kutwa humu?

We si ni mtumishi wa Mungu? Hebu ingia magotini, sugua goti hilo liishe.

Walokole feki mna kazi, bora mje muungane na sisi tule kilaji huku 🥂
 
Kama ulipunguza mahaba kwa mkeo au mumeo ongeza...
Kwenye kuongeza mahaba hapo SI unit iwe mahaba ya bebe wa ofisini. Ukiongeza below standard inakuwa 2×2 minus 4[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi huo muda wa kuwaza mke wangu atakuwa anatoka na mtu huko nautoa wapi, nilishaumiaga mpaka saiv nimekuwa kama robot na kiukweli nashukuru kwa hivi nilivyo
Kuwa kama roboti sio jambo la kujivunia mkuu. Mng'atue aliyekusababishia huo uroboti uwe free[emoji3]
 
Team kataa ndoa imepata mwanachama mwingine 😂
kuna haja ofisi ya takwimu wafanye sensa dodoso liwe......... wanaokataa ndoa vs wanaokubali ndoa maana wanachama wanaongezeka siku hadi siku!"!!!!!
 
Back
Top Bottom