Kwetu tumebarikiwa sana kuwa na kichwa kama hikiYamkini ni sahihi, ila watu wenye busara wote wanashauriwa kutumia neno “Baadhi”.
Halafu sio kila mtu anahangaika na mapenzi na kuwekana kutwa.
Hiyo ni uongooo 😆😆 ilaaa
Akili yako kuna wakati haina akili kabisa😂Unamkula mteja 😂
😂😂😂😂😂😂🙈🙈Komwe msalimie ma mkwe 🤣🤣🤣🤣
Hii kweli kabisa, na wakati mwingine inaweza kuishia kugegedana.Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.
Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.
Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.
Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.
Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.
Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.
Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...
Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.
Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.
Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.
Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..
Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...
Donatila
Mkuu umenifanya nicheke sanaWalimu wa shule za msingi wanaongoza kwa kunyanduana.
Kwakweli 95% ya wafanyakazi huwa wanapitia mchezo huu its more of human nature, watu wakikaa pamoja kwa muda mrefu wanakuwa na mazoea ya ajabuHabari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.
Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.
Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.
Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.
Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.
Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.
Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...
Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.
Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.
Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.
Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..
Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...
Donatila
Tatizo ndo hili hapa, kujiwekea msimamo kutokuwa na mpenzi sehemu unayofanya kazi.Maisha yote nilijiwekea msimamo wa kutokuwa na mpenzi sehemu ninayofanya kazi, mpaka hivi leo amani tele.
Ni kosa kubwa zaidi kulifanya ofisini…
Huo ndio uzwazwa sasa! Unahadithia vp machafu yako kwa kiumbe mchafu kama ww?! Ulishasoma biblia ukaona kuwa wana wa israel walikuwa wakimkimbilia yesu, kwenda kumueleza dhambi zao?Unaweza kuongea na mchungaji akakusaidia kuomba Sala ya Toba...
Kuna watu wapewa mamlaka na Mungu na ni wanadamu kama sisi...
Ila wapo karibu zaidi na Mungu...
Ata sis tulianza hivi, ni hatua kuelekea kataa ndoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi sipo huko bana [emoji23][emoji23]
Hapa ndo kataa ndoa wanapopata wafuasi.Mimi naona ni poa tu, maisha yalivyo magumu ukiona kuna sehemu ama mtu anakupa furaha shikamana naye,
Maisha ni furaha .
nami nilijiwekea principle kama hii, ila kwa sasa naona nilegeze sheria..., mbona binti kama huyu sijamwona penginepo?Maisha yote nilijiwekea msimamo wa kutokuwa na mpenzi sehemu ninayofanya kazi, mpaka hivi leo amani tele.
Ni kosa kubwa zaidi kulifanya ofisini…
Ndo ofisini hapo, we ulijua tukitaja ofisini tunamaanisha nini?Wenye ofis mmefikiwa sie wauza Bagia
ni kesho[emoji3][emoji3][emoji3]
Mi namshukuru Mungu nimefanikiwa kwa kumpata mpenzi wa maisha nje ya ofisi ninakofanya kazi.nami nilijiwekea principle kama hii, ila kwa sasa naona nilegeze sheria..., mbona binti kama huyu sijamwona penginepo?
Hii research ya wapi umefanya ?!Walimu wa shule za msingi wanaongoza kwa kunyanduana.