Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.

Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.

Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.

Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.

Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.

Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.

Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...

Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.

Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.

Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.

Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..

Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...

Donatila
Hii kweli kabisa, na wakati mwingine inaweza kuishia kugegedana.
 
I think you are right yes you are right

Nimefanya kazi ofisi nyingi sana na nimeyashuhudia mengi sana maofisini. Kusema kweli tumwachoe mungu tu. Ofisini panamuka ngono unakuta hr ke anagonoka na accountant. Bosi anangangana na secretary au mlinzi wa kike yaani ni full mvurugano. Kazi inaisha saa kumi na moja mke au mme keshatoa udhuu mapema kwa ndoano yake kua Kuna meeting itaisha saa tatu ofisini kumbe wanaenda badilishana vikojoleo then kila mtu anaenda kilingeni kwake. Nmeona mengi sema tu a minding my own mother fanta biashara
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende moja kwa moja kwa mada inayosema stuka, kila mke na mume ana bebe wake ofisini.

Narudia tena stuka, kuna baadhi ya wake au waume za watu ila kwa ofisi wana bebe kule, huyo anachukua nafasi ya wa nyumbani Tena kwa kujali zaidi.

Huwezi elewa yaani wanakuwa na ukaribu Fulani ambao wanaweza kuchambua karanga wote kwa pamoja.

Picha linaanza pale anapoingia asubuhi mke au mume anakaribishwa na tabasamu matata na mfanyakazi mwenzie.

Wengine wanaenda mbali zaidi kwa kulumbatiana na kukisi.

Njoo sasa ule muda wa chai yaani wanakaa pamoja, wanaandaliana chai, hapo kumbuka vitafunwa mkeo/mumeo alishambinilia mwenzie.

Utamu unaanzia pale chai inanywea kwa mapozi mbalimbali, ambayo hata nyumbani unaweza usiyapate hahaaa...

Mchana wapo tena pamoja, yaani hapa mkeo au mumeo anapelekwa kwenye mgahawa wanakaa pamoja kwa furaha na kula chakula kwa pamoja.

Haitoshi jioni wanaotoka kazini Tena pamoja wanasimdikizana yaani ni wanamahaba mvua kuliko ya nyumbani.

Bado Kuna vile vizawadi vidogodogo kama pipi, biscuit, Ice cream ambazo analetewa mkeo pale kwa job na dume mwenzako.

Bado akirudi nyumbani wanachat kwa WhatApp yaaani ni mahaba tele..

Stuka, mkeo au mumeo ana bebe wake wa kazini ambaye anamjali kulio wewe...

Donatila
Kwakweli 95% ya wafanyakazi huwa wanapitia mchezo huu its more of human nature, watu wakikaa pamoja kwa muda mrefu wanakuwa na mazoea ya ajabu
 
Nani kagundua siku za karibuni Donatila kapunguza upako.

sasahivi thread zake nyingi ni za mapenzi na sio za roho mtakatifu na kuhani musa(funny)
😂
 
Maisha yote nilijiwekea msimamo wa kutokuwa na mpenzi sehemu ninayofanya kazi, mpaka hivi leo amani tele.
Ni kosa kubwa zaidi kulifanya ofisini…
Tatizo ndo hili hapa, kujiwekea msimamo kutokuwa na mpenzi sehemu unayofanya kazi.
Mke wa mtu unachagua sehemu za kuwa na mpenzi?
Ila timu kataa ndoa wana hoja wasikilizwe!
 
Unaweza kuongea na mchungaji akakusaidia kuomba Sala ya Toba...

Kuna watu wapewa mamlaka na Mungu na ni wanadamu kama sisi...

Ila wapo karibu zaidi na Mungu...
Huo ndio uzwazwa sasa! Unahadithia vp machafu yako kwa kiumbe mchafu kama ww?! Ulishasoma biblia ukaona kuwa wana wa israel walikuwa wakimkimbilia yesu, kwenda kumueleza dhambi zao?

Kwanza ingekuwa ndio hivyo hata Yesu mwenyewe angechoka kusikiliza madhambi ya kila mtu.

Kuungama dhambi zako ni baina yako na Mola wako pekee haitakiwi yoyote kujua labda kama umedhulumu haki ya mtu hapa unatakiwa uirejeshe ile haki kwa mwenyewe ili usiwe na deni nae.Kinyume na hapo madhambi yote utakayoungama na kutubia ni baina yako na Mola wako tu.
 
Maisha yote nilijiwekea msimamo wa kutokuwa na mpenzi sehemu ninayofanya kazi, mpaka hivi leo amani tele.
Ni kosa kubwa zaidi kulifanya ofisini…
nami nilijiwekea principle kama hii, ila kwa sasa naona nilegeze sheria..., mbona binti kama huyu sijamwona penginepo?
 
nami nilijiwekea principle kama hii, ila kwa sasa naona nilegeze sheria..., mbona binti kama huyu sijamwona penginepo?
Mi namshukuru Mungu nimefanikiwa kwa kumpata mpenzi wa maisha nje ya ofisi ninakofanya kazi.
Angalia cha kufanya, tanguliza akili kabla ya moyo.
 
Back
Top Bottom