Stupid question, stupid answer

konda anakukuta stend ya bus anakuuliza vp Unakendwa?...mjibu Ndo narudi
 
Mtu yupo ndani anasikia Mvua inanyesha anauliza hiyo mvua?..mjibu hapana hilo ni jua linapiga kelele:bolt:
 
unakutana na mtu mzima njiani anakuuliza hivi wewe ndio mtoto wa mzee fulani...mjibu hapana mimi ndie baba yake mzazi
 
Mtu anakuona unaendesha gari anakuuliza vp umenunua gari siku hizi?...Mjibu hapana nimeliokota dampo vingunguti
 
Unaolewa lini?=nakusubiria wewe
Unafanya kazi gani?=unataka kunipa kazii?
 
Mtu anakuona umeongozana na mke wako mjamzito tumbo kubwa kabisa tena mpo knilini anakuuliza

VP naona mama mambo tayari, unamjibu bado, amekula hamira ndo tunaenda kukaanga maandazi.


Hahahaha Yesuuuu nimecheka jaman khaa


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mmmhhhh tangu lini ajue?.

Mtu anakupigia simu na kukulalamikia akisema: ndugu yangu yaani unaoa bila kunipa taarifa? kweli wewe hufai. Mimi namjibu: hata Mimi ndo nasikia kutoka kwako.
 
ha ha ha ha haaaa nimevunjika mbavu aisee. Mtu anakuona unafukuzia demu anakuuliza unataka ukamtie? Unamjibu nataka tukaimbe kwaya.

hahahahahahahaha!!!!!!!! hiyo noma. umetisha.
 

Mtu anakuona nyumbani kwako anauliza Naona upo? JIBU hapana nimetoka nitarudi kesho.
 
Trafiki anakupiga mkono Magomeni gari inaelekea mjini anakuuliza, 'unakwenda wapi?' mjibu 2 kiurahisi 'naenda Ubungo'
 
mtu anakuona kituoni unasubil daladala 'nakuona unasubil gar,mwambie nasubir chochote kitachowah kat ya ndege,mel,tren ntapanda hicho hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…