Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujui?A; Nasikia wa Bongo ukiwauliza swali mpaka nao wakuulize hawawezi to jibu, Ni kweli?
B; Wewe nani kakwambia?
Naona onasoma comment yangu.
Acha unaaa basi.
Mtu anakuona umeongozana na mke wako mjamzito tumbo kubwa kabisa tena mpo knilini anakuuliza
VP naona mama mambo tayari, unamjibu bado, amekula hamira ndo tunaenda kukaanga maandazi.
Kwani hujui?
mmmhhhh tangu lini ajue?.
ha ha ha ha haaaa nimevunjika mbavu aisee. Mtu anakuona unafukuzia demu anakuuliza unataka ukamtie? Unamjibu nataka tukaimbe kwaya.
{1}Mtu anakukuta unafyatua matofali,anakuuliza;naona unafyatua matofali au vipi?,unamjibu;[hapana,ninaoka mikate!]
{2}Mtu anakukuta unavuta sigara,anakuuliza;na wewe unavuta sigara?,unamjibu;[hapana,hii ni chaki inaungua!].>>
{3}Mkeo anakuta namba ya mwanamke mwingine kwenye simu yako,anang'aka;niambie,na huyu ni nani?,unamjibu;[soma jina lake,si limeandikwa hapo!].
Unaangalia soka....mtu anakutxt kuuliza updates. ...unamjibu
bila bila dakika ya 70....
Yeye anauliza tena...kipndi kipi?
Kwani hujui?
Mtu anakuona umetulia home anakuambia "nakuona mzee !"
Unamwambia,acha uongo wewe mbona mi sikuoni mkuu!