Stuttering ( Kigugumizi)

Stuttering ( Kigugumizi)

The Butcher

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
348
Reaction score
491
Salaaam wakuu
Straight to the point mm nina tatizo hili la muda mrefu ambalo nina matumaini kuwa siku moja litaisha kama ninavyosikia kwa wengine ..
kigugumizi hunijia ghafla hasa napokua naongea sana sana kwa maneno magunu yaani nakua nashindwa tamka neno although i have something long to say. hii imekua ikinipunguzia kutojiamini katika mambo mbalimbali na kujitenga mwenyewe .
naombeni kwa mwenye ujuzi wa namna yoyote ya kuweza kudeal na tatizo hili naomba anisaidie ili niwe mtu social kama wengine and enjoy the spirit of communicating.
 
Uwe unaongea taratibu sio haraka itakusaida kiasi fulani.
 
Back
Top Bottom