SUA Hatari Prezda aliwa kichwa.

Status
Not open for further replies.

Kizega

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
26
Reaction score
2
Rais wa chuo SUA amedisco semester iliyopita alikuwa GPA 4 hii ni hatari!!!!...huu utakuwa mpango ambao umeandaliwa
 
Rais wa chuo SUA amedisco semester iliyopita alikuwa GPA 4 hii ni hatari!!!!...huu utakuwa mpango ambao umeandaliwa

Napata tabu kuamini mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza akaweka bandiko kama hilo lako....linamiss vitu vingi sana..au wewe ndo huyo president umekuja kutafuta public sympathy huku?
 
Kizega kwanin unadanganya watu??? Mtu ana gpa ya nne afu semister hii adisco?? Na ujue we ni mwongo pepa za sup mbona bado hazijafanywa!! Sasa ata disco vipi?? Acha potosha umma..
 
Last edited by a moderator:
Kizega kwanin unadanganya watu??? Mtu ana gpa ya nne afu semister hii adisco?? Na ujue we ni mwongo pepa za sup mbona bado hazijafanywa!! Sasa ata disco vipi?? Acha potosha umma..
kwani umesikia amesup,ni kwamba amedisco
 
Last edited by a moderator:
Napata tabu kuamini mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza akaweka bandiko kama hilo lako....linamiss vitu vingi sana..au wewe ndo huyo president umekuja kutafuta public sympathy huku?

Linamiss kitu gani sema?
 
Rais wa chuo SUA amedisco semester iliyopita alikuwa GPA 4 hii ni hatari!!!!...huu utakuwa mpango ambao umeandaliwa
Not necessarily uwe mpango. Inawezekana jamaa ana matatizo ya kifamilia ama ya kimahusiano ambayo yamesababisha akashindwa kusoma, hivyo kupelekea kufeli.
 
Wale wazee wa SUA wamekunywa maji ya bendera kama kiapo, hawana masihara, huyu president inasemekana aliwachachafya sana inawezeka hii ndio payback kwake......
 
Hicho Cheo cha Urais hapo chuoni ni
Kinga ya kutoferi ?
 
Kama kichwa chake ni popopo lazima wamle kichwa, kaliwa Prezidaa Mlenge miaka ile sembuse yeye. Atafute kazi nyingine.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…