Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa chuo SUA amedisco semester iliyopita alikuwa GPA 4 hii ni hatari!!!!...huu utakuwa mpango ambao umeandaliwa
umeandaliwa kisa nini...tupe story kamili...
Rais wa chuo SUA amedisco semester iliyopita alikuwa GPA 4 hii ni hatari!!!!...huu utakuwa mpango ambao umeandaliwa
alikuwa kozi gani?
Napata tabu kuamini mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza akaweka bandiko kama hilo lako....linamiss vitu vingi sana..au wewe ndo huyo president umekuja kutafuta public sympathy huku?
Not necessarily uwe mpango. Inawezekana jamaa ana matatizo ya kifamilia ama ya kimahusiano ambayo yamesababisha akashindwa kusoma, hivyo kupelekea kufeli.Rais wa chuo SUA amedisco semester iliyopita alikuwa GPA 4 hii ni hatari!!!!...huu utakuwa mpango ambao umeandaliwa
Hicho Cheo cha Urais hapo chuoni ni
Kinga ya kutoferi ?
weka vizuri habari yako tukuelewe