SUA Hatari Prezda aliwa kichwa.

SUA Hatari Prezda aliwa kichwa.

Status
Not open for further replies.
Kizega kwanin unadanganya watu??? Mtu ana gpa ya nne afu semister hii adisco?? Na ujue we ni mwongo pepa za sup mbona bado hazijafanywa!! Sasa ata disco vipi?? Acha potosha umma..

sua hadi uwe na creadits hour 16 ndo unaruhusiwa kupiga sap la sivo ni hme
 
rais wa chuo sua amedisco semester iliyopita alikuwa gpa 4 hii ni hatari!!!!...huu utakuwa mpango ambao umeandaliwa

hii ni kawaida na si mara ya kwanza, mara nyingi wakishakuwa maraisi hawasomi tena hawa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom