Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na ww mwana Sua!? Enzi zetu wanasua hatukuwa kama ulivyo wewe, mmmmh kweli Sua nowadays inadahili wanafunzi wa hivi, ama kwel Elimu imekufa.SUA tutaendelea kupeta kama real madrid ndani ya santiaGo bernabeu........ tumekamilikA kilA idaRaaa hasaHasaaa in term of excellence........... u canT compare suA with Udzm or any other vyuo vya kata...... e.G udom ñ sauti
huyu atakuwa wa sua kweli ila atakuwa anachukua digir ya maua, Bsc horticultureSua uko kwenye bustani ama ni mfagizi? Maana kama ni mwanazuoni huwezi kuleta comparison za kijinga namna hii...
real madrid was awarded the best team in the world of 20th century.so SUA is the best university too in the world?if not in the world is it in Tanzania?for what special achievement?wakati kilimo na ufugaji vipo ICU,hakuna chuo hata kimoja Afrika ni realmadrid,vyuo vya wenzenu ni center of innovations and inventions,sisi ni kupiga kelele tu huku vyuo vyetu vyote vinapumulia mashine.SUA tutaendelea kupeta kama real madrid ndani ya santiaGo bernabeu........ tumekamilikA kilA idaRaaa hasaHasaaa in term of excellence........... u canT compare suA with Udzm or any other vyuo vya kata...... e.G udom ñ sauti
Chuo cha kilimo una compare na UDSM ! Boya kwel ww ! SUA nacho chuo kwan ???
SUA ni maalumu kwa kilimo
unadhaNii mm ni kilaza kama wewe... uliza uambiwe bwana mdoGo
Hili ni tatizo la vilaza huwa wanachangua vyuo gani vya kusoma badala ya kuachagua kozi zipi za kusoma,na wakimaliza hwajua hata kazi gani wafanye. Ni vyema ukajua kuwa ukiwa unachagua kozi kwanza huwezi dharau vyuo vingine maana kuna kozi hazipatikani kila chuo. Mfano kozi nyingi za afya zipo MUHAS huwezi pata SUA, na pia kozi nyingi za kilimo zipo SUA huwezi pata UDOM au MZUMBE.SUA tutaendelea kupeta kama real madrid ndani ya santiaGo bernabeu........ tumekamilikA kilA idaRaaa hasaHasaaa in term of excellence........... u canT compare suA with Udzm or any other vyuo vya kata...... e.G udom ñ sauti
Hili ni tatizo la vilaza huwa wanachangua vyuo gani vya kusoma badala ya kuachagua kozi zipi za kusoma,na wakimaliza hwajua hata kazi gani wafanye. Ni vyema ukajua kuwa ukiwa unachagua kozi kwanza huwezi dharau vyuo vingine maana kuna kozi hazipatikani kila chuo. Mfano kozi nyingi za afya zipo MUHAS huwezi pata SUA, na pia kozi nyingi za kilimo zipo SUA huwezi pata UDOM au MZUMBE.
SUA tutaendelea kupeta kama real madrid ndani ya santiaGo bernabeu........ tumekamilikA kilA idaRaaa hasaHasaaa in term of excellence........... u canT compare suA with Udzm or any other vyuo vya kata...... e.G udom ñ sauti
BVM huyo??Mkuu hakujui kama uko BVM! Ila umeanzaje mkuu mpaka kufikia hiyo hatua? Maana ulichoandika mimi sijakielewa!