SUA kama Real Madrid

SUA kama Real Madrid

SUA ilikuwa tawi la UDSM naona leo mtoto anataka kumtusi baba,sua ni sawa na COET,CONAS,CASS,UDSOL,UDBS,COICT,SJMC ambayo ni matawi ya UDSM
 
first year bhana, mnanifurahisha sana. hahahaha unajua huyu dogo bila shaka alikuwa anataka kuja kusoma udsm sasa akashindwa ndo anajipa moyo kusema hayo maneno. Soma upate hela mdogo wangu uwe na maisha mazur hayo maswala ya chuo bora achana nayo kibongobongo tunajua kuwa udsm ndo the best ila usijali kuhusu hilo wewe piga shule upate hela basi
 
Hili ni tatizo la vilaza huwa wanachangua vyuo gani vya kusoma badala ya kuachagua kozi zipi za kusoma,na wakimaliza hwajua hata kazi gani wafanye. Ni vyema ukajua kuwa ukiwa unachagua kozi kwanza huwezi dharau vyuo vingine maana kuna kozi hazipatikani kila chuo. Mfano kozi nyingi za afya zipo MUHAS huwezi pata SUA, na pia kozi nyingi za kilimo zipo SUA huwezi pata UDOM au MZUMBE.

Upo sahihi mkuu.
 
SUA tutaendelea kupeta kama real madrid ndani ya santiaGo bernabeu........ tumekamilikA kilA idaRaaa hasaHasaaa in term of excellence........... u canT compare suA with Udzm or any other vyuo vya kata...... e.G udom ñ sauti

Style yako ya uandishi utasema unasoma "Zoom College Of Hospitality Management & Table Arrangement"
Poleni wanaSUA kwa kuwa na kilaza wa namna hii!
 
SUA tutaendelea kupeta kama real madrid ndani ya santiaGo bernabeu........ tumekamilikA kilA idaRaaa hasaHasaaa in term of excellence........... u canT compare suA with Udzm or any other vyuo vya kata...... e.G udom ñ sauti

ubongo wako umejaa kamasi na makohozi..sua imekuwekea kwenye account tsh. ngapi mpaka sasa? hembu toka kwenye fikra finyu nenda kwenye fikra pana.
 
SUA ilikuwa tawi la UDSM naona leo mtoto anataka kumtusi baba,sua ni sawa na COET,CONAS,CASS,UDSOL,UDBS,COICT,SJMC ambayo ni matawi ya UDSM

Acha kuvuta bangi wewe SUA ni sawa na CoET ? SUA ni UNIVERSITY CoET ni COLLEGE
 
We Uliyepost huu Utumbo unavuta Bangi bila shaka na huu ni mwaka wako wa kwanza Chuo lazima.......Unapozungumzia Vyuo Vikuu Tz UDSM hakuna Chuo cha kulinganisha hapa labda vya South Africa,Egypt,Nigeria,na vichache vya E.Africa(Kenya na Uganda)....Ukitaka kujiridhisha tafuta Africa Universities Ranking.....halafu next time ukishavuta bangi zako nenda kapost Facebook.
 
UDSM wanatoa kozi za kilimo?
 
Hatujawahi kuwa na mwanasua mjinga kiasi sua kama ilivyo ardhi ni matawi yalikuwa matawi ya udsm walimu kibao wa udsm wanapga partime sasa usitugombanishe na ndugu zetu wewe unaxomea kilimo udsm hakun ktu kam hcho utashndnishje
 
Bahati yenu watu wanaingia na IDs ambazo haziakisi uhalisia wao...ila mtu kama huyu hastahili kusoma (nashawishika kusema hajui ni kwa nini yupo chuo anasoma)
 
Back
Top Bottom