Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikujua kuwa sua n bonge la chuo,kama mkopo wako unaanzia 80% na kuendelea waweza kusajiliwa bla ya kulipia ada iliyobak
vizuri sana kwa sisi walalahoi ndo tunaponeaga humo na vyuo vingine kama vp viige hako kautaratibu.
Ila constituent college yake(muccobs) ni waxumbufu knyama
Ila constituent college yake(muccobs) ni waxumbufu knyama
Sikujua kuwa sua n bonge la chuo,kama mkopo wako unaanzia 80% na kuendelea waweza kusajiliwa bla ya kulipia ada iliyobak